Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Lazima apigwe ban....na wewe endelea tu hapa na ushabiki wako maandazi bila kujali sheria z jf...uTAPIGWA BAN

hatukutakiii hatukutakiii
tuache na ushabiki wetu maandazi hatukutakii
hata akipigwa BAN hatukutakiiiiiiiooook
toka bibi tokaaaaaaaaaaa
 
Jina lako linakustahili wewe buku saba fc
No wonder unashabikia mvivu na mwenye roho ya kwa nini
You guys should stop being mashabiki mandazi

tuache na roho mbaya yetu bimkubwa wewe
hatukutakiii we nenda kwa wenye roho nzuri wenzie hatukutakiiiii hata kidogo!!
ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ppppppppooooooooooooooo
hatukutakiiioooooooooo
 
IMG_20141212_110210.jpg

TZ NEXT OFFICIAL WEBSITE

this boy is cuteeeee ooooooo
 
Lazima apigwe ban....na wewe endelea tu hapa na ushabiki wako maandazi bila kujali sheria z jf...uTAPIGWA BAN
Hahahahahaaaa.... Unatamani sana tujali pumba unazoongea hapa? Kwa kweli hatuna muda na mtu mwenye ID's za ziada kwa ajili ya kukera watu. Ila bado nakushangaa kwa mtoto wa kiume mwenye jina la Deogratias kujitambulisha kama mtoto wa kike.
Ova
 
I see yah broda
 
Hahahaaaaa naona umemuamulia huyu chizi!

dawa yake kumfukuza tu huyu
hana lolote anajiona wa maana kumbe hadhi yake ya muwa humezwi ht siku moja anaishia kutafuna tu
mara sie wavivu,roho korosho,loosers mabumunda,maandazi
sasa ye anakuja kwa wavivu bimkubwa yule kufanya nini
dawa ni kumfukuza tuuu
hatumtakiiiiiiiiii
 
Hahahahahaaaa.... Unatamani sana tujali pumba unazoongea hapa? Kwa kweli hatuna muda na mtu mwenye ID's za ziada kwa ajili ya kukera watu. Ila bado nakushangaa kwa mtoto wa kiume mwenye jina la Deogratias kujitambulisha kama mtoto wa kike.
Ova

dawa yake kumtimua tuu inatosha sana
 
Back
Top Bottom