Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mbona unaharibu hii thread??Ni shida sana mnajitekenya na kucheka wenyewe....
Mashabiki wa kibla jitafakarini upya
Kuwa shabiki mabumunda kuna gharama yake
Hilo jina wewe unalifahamu?
wadau mpo?
siasa zinatufanya tuwe busy kidogo.....hope next monday tutakuwa pamoja!
Ally Kiba 4real
Aisee mbona unaharibu hii thread??
kama sio shabiki wa KING Kiba unawashwa na nn?
Una hamu ya kukunwa??ngoja nije nikutembezee libolo Fc......
daah!Heheheeeee
Jana hukuwepo uone madudu yake eeh?ungekasirika zaidi ya hapo.
Heheheeeee
Jana hukuwepo uone madudu yake eeh?ungekasirika zaidi ya hapo.
daah!
bahati mbaya sikuwepo....life BAN ingekuwa stahiki yangu!
Kaambiwa king fans wajumuike....sasa anapoleta uharo wake hapa tutamshugulikia kama mtuhumiwa wa escrow!
Uwiiiiiiiiiii jamani my Mdakuzi kapigwa ban!
Why?why? O.M.G!!!!!
Please ukipita hapa fungua tu hata fekero a/c unitafute!
Siku ishaharibika Wallah!
Sio jana tu...hata leo nipo....kweli wewe ni shida ...kucha kutwa uko humu kwa mvivu mwenzio
Lazima apigwe ban....na wewe endelea tu hapa na ushabiki wako maandazi bila kujali sheria z jf...uTAPIGWA BAN
Aaaah wapi wewe?Sio rahisi kama unavyofikiria...
Sio jana tu,hata leo upo,hata sasa hivi pia upo.....
Unanisema mimi mvivu,kutwa kucha niko humu!!!
Hivi wewe mzima kweli?
Acha weeeeee
Mimi sio kama wewe binti
Hapa sina zaidi ya 30 minutes tangu niingie
Jiangalie wewe uko tangu muda gani humu
Mimi pia sina hata lisaa lizima tokea niingie humu.
Alafu wewe ni nani wa kunipangia muda wa kuingia humu?
Fanya yako yaliyokuleta achana na mimi.
Sijakufata ujue sema ni wewe unajipendekeza......
Hayo ya muda ni swali ulilouliza wewe ...
Be ware mvivu wewe
Najutia muda wangu nilioupoteza kubishana na mtu mwenye IQ ndogo kama wewe!
Sitaki kurudia tena kosa.
Sijakufata ujue sema ni wewe unajipendekeza......
Hayo ya muda ni swali ulilouliza wewe ...
Be ware mvivu wewe
Acha weeeeee
Mimi sio kama wewe binti
Hapa sina zaidi ya 30 minutes tangu niingie
Jiangalie wewe uko tangu muda gani humu