Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mbona wengine kwetu haifunguki? wee mtu usiyeonekana lete hicho kitu kwa njia nyingine basi

Uwiiiiiiii!Basi tena ngoja nimuache apite.
Ndio maana hajielewi kumbe?
Najuta muda wangu niliopoteza kubishana na huyu mpuuzi!
Alafu anaita wenzie jobless???
Mtu mwenye kazi anaweza kufanya huu upuuzi kweli?
O.M.G! Wonders shall never end....
 
kiba hakutakiiiiiii
hakutakiiiiiiiiiiii
hakutakiiiiiiiiiiiiiiiii
kiba hatoki na mashogaaaaaaaaaas
nifah mwambie hivi
ananukaaaaaaaa maana anatumia mlango sio
hatumtakiiiooooo
atokeeeeeeeeeeeer
Gracious hutakiwiiiiiiiiiii na kiba
 
Last edited by a moderator:
Msihangaike na huyu mtu mwacheni apite zake.
ID's zake huyu jamaa hizi hapa!
  • Gracious 86
  • AG Gracious
  • Deogracious Kweka
  • Gracious
  • Gracious Gracious
  • Gracious P
Ova

Usipoteze muda wako wewe shabiki hohehahe....

ID yangu ni moja tu Gracious

Hizo zingine hazinihusu....itakuwa unaumwa kifaduro...sio bure wewe
 
Last edited by a moderator:
kiba hakutakiiiiiii
hakutakiiiiiiiiiiii
hakutakiiiiiiiiiiiiiiiii
kiba hatoki na mashogaaaaaaaaaas
nifah mwambie hivi
ananukaaaaaaaa maana anatumia mlango sio
hatumtakiiiooooo
atokeeeeeeeeeeeer
Gracious hutakiwiiiiiiiiiii na kiba

Shoga huyu mtu ni kichaa tumuache tu mwaya!
Umeona lundo la ids zake?
Ni sheeedah
 
Inaonekana mashabiki wa huyo msanini lofa mnapenda sana kugawa 0657......

Jamani hii tabia sio ya kitanzania

Muache...Mungu hapendi....

No wonder mnamshabikia Looser
 
Mheshimiwa shabiki mabumunda....bado upo unakesha hapa JF

Utakuwa mvivu na jobless kama mwenzenu

Welcome to the winning boat...winning team

We rock in Africa....

Mtabaki na msanii wenu ovyooo na ushabiki mandazi wenu....

hatukutakiiiiii
kiba anashabikiwa na watu wanaojielewa
kumbe umekuja kwenye promooooo
hilooooo nenda kaogeeeee,hutakiwiiiii kwendaaaa
 
Shoga huyu mtu ni kichaa tumuache tu mwaya!
Umeona lundo la ids zake?
Ni sheeedah

Ni shida sana mnajitekenya na kucheka wenyewe....

Mashabiki wa kibla jitafakarini upya

Kuwa shabiki mabumunda kuna gharama yake
 
Inaonekana mashabiki wa huyo msanini lofa mnapenda sana kugawa 0657......

Jamani hii tabia sio ya kitanzania

Muache...Mungu hapendi....

No wonder mnamshabikia Looser

hatukutakiiiiiiii
hatukutakiiiiiiii
hatukutakiiiiiiiiiiiii
fake ids
hatukutakkiiiiiiiooooo
 
Ni shida sana mnajitekenya na kucheka wenyewe....

Mashabiki wa kibla jitafakarini upya

Kuwa shabiki mabumunda kuna gharama yake

hatukutakiiiiiiio
hatukutakiiiiiiiii
hatukutakiiiiii tu sie
kiba hakutttttakiiiiiii
 
hatukutakiiiiii
kiba anashabikiwa na watu wanaojielewa
kumbe umekuja kwenye promooooo
hilooooo nenda kaogeeeee,hutakiwiiiii kwendaaaa

Maaaaaaaamamaamamamam

Yaaani wewe ni mmoja wa watu wanaojielewa kati ya mashabiki wa looser

Ndio maaaaaaana

Kumbe ndio maaaaana ana loose tu kila siku

Hivi katunga wimbo gani ule ulioishai kupigwa pale magomeniiiiii

Dah...hii ni laana kwa manamuziki kuwa na mashabiki kama ninyi....kama ni mimi ningejinyonga wallah
 
hatukutakiiiii@Gracious pliiiiz
get the hell out of our sight tokaaaaaaaaaa
 
hatumtakiiiii
hatuna shida na nuksi nuksi km hizii
hatumtakiiiiii
Bwaha ha ha ha!!Geniveros umeniacha hooooi!!Ha ha ha!Nimecheka kila nikikuona unazomea zomea ha ha ha!!wewe afu hata hutumii nguvu nyingiiii!!umenitoa mafichoniiiii kuna mijitu mizima mitoto ilinikera ila kwa leo kula like like like!!
 
Maaaaaaaamamaamamamam

Yaaani wewe ni mmoja wa watu wanaojielewa kati ya mashabiki wa looser

Ndio maaaaaaana

Kumbe ndio maaaaana ana loose tu kila siku

Hivi katunga wimbo gani ule ulioishai kupigwa pale magomeniiiiii

Dah...hii ni laana kwa manamuziki kuwa na mashabiki kama ninyi....kama ni mimi ningejinyonga wallah

hatukutakiiiiii
unajua hatukutakiiiiiii
hatukutakii
kiba naskia alikukataa alikupa mbwa wake
huyooooo
 
Hutaki nini kwa mfano binti?

Hivi huyo msanii wenu ashawahi kushinda hata tuzo za kilimanjaro ?

au za basata?

hata nyimbo zake zikisikika chumbani tu
we toka nenda kwa walioshinda gramy na bet
sie huku hatukutakiiiii
dada hutakiwiiii naskia kiba alikuchomolea ndo maana una hasira nae
hatukutakiiiiiiiii
 
Bwaha ha ha ha!!Geniveros umeniacha hooooi!!Ha ha ha!Nimecheka kila nikikuona unazomea zomea ha ha ha!!wewe afu hata hutumii nguvu nyingiiii!!umenitoa mafichoniiiii kuna mijitu mizima mitoto ilinikera ila kwa leo kula like like like!!

yaani huyu demu kiba kamtosa kiaina hafanani ht kua kijakazi wake
so ana hasira nae kinyama ndo maana namwambia
hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiii
nasema hv hatukutakiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom