Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mbona wengine kwetu haifunguki? wee mtu usiyeonekana lete hicho kitu kwa njia nyingine basi
Uwiiiiiiii!Basi tena ngoja nimuache apite.
Ndio maana hajielewi kumbe?
Najuta muda wangu niliopoteza kubishana na huyu mpuuzi!
Alafu anaita wenzie jobless???
Mtu mwenye kazi anaweza kufanya huu upuuzi kweli?
O.M.G! Wonders shall never end....