Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nipo besti, u know Sitimbi mtandao unasumbua mpaka huwa nafanya kuisahau kabisa simu yangu!!
MwanaVideo naisubiri kwa hamu sana!

Pole mwaya!Naku miss miss sana u know!Ila fanya mpango video ikikaribia kutoka uhame huko kwa mda,sitaki kukukosa hapa kabisa.
 
Tumeshawashikisha adabu Maccm bado katiba ya Chenge tunaipiga chini na mwakani tunalitumbuwa tezi dume kwisha kazi.

Hahahahaaaaa Matola wewe?nimeya miss sana haya maneno yako hadi leo nilikua nimepanga nikuulizie kulikoni?
Maana umepotea sana.
Ma ccm lazima tuyapige chini,tena kwa kishindo!
 
Last edited by a moderator:

U know unaturusha roho meeeeeeeen!
 
Hua nashangaa sana kumuona kijana anayeishabikia ccm!Tena na kumdharau juu!

Wengi wao ni vijana walioshindwa maisha kabla hata hawajayaanza maisha yenyewe wanadhani maisha ni rahisi kukaa kubeba mikoba ya wanasiasa na kutoa matamko ushuzi kwa ujira wa clone Smartphone za China na vijipocket money uchwara.
 
Kumbe???Njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…