Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Nainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova
Kizuri kula na nduguzo kibaya msukumie jirani.
Duh kazi ipo.
Kwenye nai nai napenda chorus na manjonjo ya Kiba tu,kwingine hua sisikilizi!
Kweli aliufanyia poa sana ule wimbo,ila ommy mshenzi kamgeuka alivyotoa mwana wala hakumsapoti,watu walimnanga sana insta lakini alikaa kimya tu.
Hua simpendi ila alivyofanya hivi nimezidi kumchukia japo sio case maana wimbo umetamba hadi tumesahau kama kuna Dimpoz.
Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Nainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova
wanasema tenda wema nenda zako ucngoje malipo wala shukran, na hatupaswi kuhesabu yale tunayowafanyia watu in gud heart, hayo mengine ni ya Mungu, we cant judge coz we neva know.
Huu wimbo wa hela wa kiba utakua noma;! Nimeskliza vipande vyake huko insta
Huu wimbo wa hela wa kiba utakua noma;! Nimeskliza vipande vyake huko insta
Namshukuru Mungu najua muziki. Nilipata nafasi ya kusikiliza nyimbo kama ishirini na mbili hivi za King Kiba ambazo bado hazijatoka, kiukweli hakukuwa na wimbo mbaya. Kikubwa kinachonishangaza kwa Kiba, ni nyimbo alizotunga na kurekodi miaka miwili au mmoja uliopita lakini ni kali kuliko nyimbo zilizoko sasa. Jamaa anajua.
Ova
Whaaat??? Nyimbo 22?mbona balaa hili jamani...
Nawe ulizisikiliza wapi?nitumie japo baadhi na mie nimsikilize King akifanya mabalaa yake.
Nyimbo za huyo jamaa zinalindwa kama mkuu wa nchi. Na ujanja wangu wote sijawahi kutumiwa wimbo wake kabla haujatoka. Nilisikiliza studio tu, hadi nikatamani kama aziachie tu zote ili watu wamwelewe huyu jamaa ana uwezo kiasi gani.

Ni kweli kabisa. Lakini hakuna binadamu asiyeumia anapolipwa jema lake kwa kufanyiwa ubaya. Ili kuifanya dunia iwe katika ukamilifu wake ni vema kila mmoja akajiona ana nafasi ya kukumbuka na kushukuru kwa jema alilofanyiwa na mwenzake. Hii itafanya mtenda mema aipate shukrani yake bila kuingoja, na hivyo wala hatahukumu.
Ova
Nihurumie basi maana roho yangu inataka kuchomoka especially nikikumbuka kuwa Kiba huwa anauwaaaa!!!
hahaaaa!! huyu kazi yake ni kutuchomoa roho tu, na kadhamiria kweli leo, by the way, how are you mama?
Roho ikichomoka kisa kiba utakua Star utazikwa kino
Taratibu jamani mwisho wa mwaka huu!! Ohhoooo
Maana dah pressure inapanda pressure inashuka!
Ila chonde chonde mfikishieni ujumbe wangu kuwa asije akawa anarudia rudia maneno na beats zilezile kama kina jaguar na ule mtaa wa pili sizipendagi hizo mambo kabisaaaa!