Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwa wale ambao mpo UK jumamosi hii King yupo kwenu na ni birth ya kaka yake.
 
Attachments

  • 1418825747941.jpg
    1418825747941.jpg
    61.2 KB · Views: 56
Ijumaa naona kama mbaali!!King ataacha marks za kudumu kama kawaida yake I knw!!Naona upepo wa tuzo utafunikwa,lol!

Wacha atuongezee oxygen!
Wale ambao kazi yao ni kuponda nawashauri waandae notisi kabisa wazikariri wasije wakaishiwa maneno!
 
Wacha atuongezee oxygen!
Wale ambao kazi yao ni kuponda nawashauri waandae notisi kabisa wazikariri wasije wakaishiwa maneno!

Na wajiandae kwelikweli maana nipoje kamili kuwakabili?
Uwiiiiii moto utawaka hapa
 
King Kiba sio masikini kwenye kuandika. Kila wimbo uhusika wa kivyake kabisa. Kiba ana kipaji kikubwa sana ndio maana namwelewa. Huwezi kufananisha melody wala msitari wowote toka kwenye wimbo huu hadi kwenda wimbo mwingine.
Ova

I know....ni msisitizo tu asije akajisahau! Huo upekee na ubunifu wake ndo hunifanya nimuone brand new na kuzidi kumpenda siku hadi siku!
 
I know....ni msisitizo tu asije akajisahau! Huo upekee na ubunifu wake ndo hunifanya nimuone brand new na kuzidi kumpenda siku hadi siku!

Msisitizo ni muhimu sana kwa kijana wetu ili asituangushe kama mtaa wa pili walivyoangushwa na kijana wao kwa ngoma mpya iliyosikika kwa wiki moja tu then ikapotea na kubakia scandal tu za ngono.

Ewaaaaa we kijana una mabig brain umenipata bila mawimbi!!
 
Back
Top Bottom