Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahahahaaa! Itatulia tu wangu, nadhani kesho itatulizwa kabisa!
Ova
Hebu funguka vizuri....King Kiba kesho anatoa video nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa! Itatulia tu wangu, nadhani kesho itatulizwa kabisa!
Ova
Hebu funguka vizuri....King Kiba kesho anatoa video nini?
Haha haa,nimecheka sana...lol
Hebu funguka vizuri....King Kiba kesho anatoa video nini?
No! Ni kesho kutwa baby wangu.
Ova
hivi ali kiba yupo wapi siku hizi
Roho ikichomoka kisa kiba utakua Star utazikwa kino
Hahahahaaa! Itatulia tu wangu, nadhani kesho itatulizwa kabisa!
Ova
Ijumaa naona kama mbaali!!King ataacha marks za kudumu kama kawaida yake I knw!!Naona upepo wa tuzo utafunikwa,lol!
Ijumaa naona kama mbaali!!King ataacha marks za kudumu kama kawaida yake I knw!!Naona upepo wa tuzo utafunikwa,lol!
Wacha atuongezee oxygen!
Wale ambao kazi yao ni kuponda nawashauri waandae notisi kabisa wazikariri wasije wakaishiwa maneno!
King Kiba sio masikini kwenye kuandika. Kila wimbo uhusika wa kivyake kabisa. Kiba ana kipaji kikubwa sana ndio maana namwelewa. Huwezi kufananisha melody wala msitari wowote toka kwenye wimbo huu hadi kwenda wimbo mwingine.
Ova
I know....ni msisitizo tu asije akajisahau! Huo upekee na ubunifu wake ndo hunifanya nimuone brand new na kuzidi kumpenda siku hadi siku!
Na wajiandae kwelikweli maana nipoje kamili kuwakabili?
Uwiiiiii moto utawaka hapa
Usibonyezeeeee nakwambia.
Kuna baadhi ya watu na kauli zao mpaka leo nazikumbuka.....nawasubiri nione reaction yao!
Msisitizo ni muhimu sana kwa kijana wetu ili asituangushe kama mtaa wa pili walivyoangushwa na kijana wao kwa ngoma mpya iliyosikika kwa wiki moja tu then ikapotea na kubakia scandal tu za ngono.
Ova