Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Nainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova

Kwenye nai nai napenda chorus na manjonjo ya Kiba tu,kwingine hua sisikilizi!
Kweli aliufanyia poa sana ule wimbo,ila ommy mshenzi kamgeuka alivyotoa mwana wala hakumsapoti,watu walimnanga sana insta lakini alikaa kimya tu.
Hua simpendi ila alivyofanya hivi nimezidi kumchukia japo sio case maana wimbo umetamba hadi tumesahau kama kuna Dimpoz.
 
Dogo anayumba na hajiamini ndio maana akajitia kusimama katikati. Ujue hata Nainai ilipopata tuzo ya collabo bora ya Kili, hakumshukuru Kiba. Na hata Vanessa Mdee hakumshukuru baada ya collabo yao ya Me&U kudaka Tuzo ya Kili. Dogo hana utamaduni wa kushukuru.
Ova
 
Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Nainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova

wanasema tenda wema nenda zako ucngoje malipo wala shukran, na hatupaswi kuhesabu yale tunayowafanyia watu in gud heart, hayo mengine ni ya Mungu, we cant judge coz we neva know.
 
Ni kweli kabisa. Lakini hakuna binadamu asiyeumia anapolipwa jema lake kwa kufanyiwa ubaya. Ili kuifanya dunia iwe katika ukamilifu wake ni vema kila mmoja akajiona ana nafasi ya kukumbuka na kushukuru kwa jema alilofanyiwa na mwenzake. Hii itafanya mtenda mema aipate shukrani yake bila kuingoja, na hivyo wala hatahukumu.
Ova
 
Huu wimbo wa hela wa kiba utakua noma;! Nimeskliza vipande vyake huko insta

Namshukuru Mungu najua muziki. Nilipata nafasi ya kusikiliza nyimbo kama ishirini na mbili hivi za King Kiba ambazo bado hazijatoka, kiukweli hakukuwa na wimbo mbaya. Kikubwa kinachonishangaza kwa Kiba, ni nyimbo alizotunga na kurekodi miaka miwili au mmoja uliopita lakini ni kali kuliko nyimbo zilizoko sasa. Jamaa anajua.

Whaaat??? Nyimbo 22?mbona balaa hili jamani...
Nawe ulizisikiliza wapi?nitumie japo baadhi na mie nimsikilize King akifanya mabalaa yake.
 
Nyimbo za huyo jamaa zinalindwa kama mkuu wa nchi. Na ujanja wangu wote sijawahi kutumiwa wimbo wake kabla haujatoka. Nilisikiliza studio tu, hadi nikatamani kama aziachie tu zote ili watu wamwelewe huyu jamaa ana uwezo kiasi gani.

Taratibu jamani mwisho wa mwaka huu!! Ohhoooo
Maana dah pressure inapanda pressure inashuka!
 
Nyimbo za huyo jamaa zinalindwa kama mkuu wa nchi. Na ujanja wangu wote sijawahi kutumiwa wimbo wake kabla haujatoka. Nilisikiliza studio tu, hadi nikatamani kama aziachie tu zote ili watu wamwelewe huyu jamaa ana uwezo kiasi gani.
Ova

Ila chonde chonde mfikishieni ujumbe wangu kuwa asije akawa anarudia rudia maneno na beats zilezile kama kina jaguar na ule mtaa wa pili sizipendagi hizo mambo kabisaaaa!
 
Ni kweli kabisa. Lakini hakuna binadamu asiyeumia anapolipwa jema lake kwa kufanyiwa ubaya. Ili kuifanya dunia iwe katika ukamilifu wake ni vema kila mmoja akajiona ana nafasi ya kukumbuka na kushukuru kwa jema alilofanyiwa na mwenzake. Hii itafanya mtenda mema aipate shukrani yake bila kuingoja, na hivyo wala hatahukumu.
Ova

it depends ujue, u never know walikwazana wapi mpaka wakafikia hapo, kila kitu kina limit u know, inakuwa rahisi kujudge if yo outside the box, all in all kiba is a grt guy he ll make it
 
Ila chonde chonde mfikishieni ujumbe wangu kuwa asije akawa anarudia rudia maneno na beats zilezile kama kina jaguar na ule mtaa wa pili sizipendagi hizo mambo kabisaaaa!

King Kiba sio masikini kwenye kuandika. Kila wimbo uhusika wa kivyake kabisa. Kiba ana kipaji kikubwa sana ndio maana namwelewa. Huwezi kufananisha melody wala msitari wowote toka kwenye wimbo huu hadi kwenda wimbo mwingine.
Ova
 
Back
Top Bottom