Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

-

kiukweli video ni kali kwa alikiba na anajitahidi kulitafta soko la kimataifa ila maudhui ya wimbo hauonekani kabissa kwenye video yaani kwa mtu asiyejua kiswahili ukimwambia hii nyimbo ina ujumbe mkali lazima apinge ... nimegundua ali alikamia saana kuifanya video hii , enewei , ni mtazamo Wanguu
 
Umewahi kbahatika kuiona video ya Prakatatumba ya Cabo Snoop? Umeelewa alichokuwa akikiimba? Sio kila video hujenga matukio ya maigizo, sio kila video lazima iwe Performance Video, Narrative Video au Conceptual Video. Utengenezaji wa video ni taaluma yenye misingi yake.
Nisome kwenye post ya 5724 sophial ameniquote post yangu pengine utaweza elewa nachosema hapa.
Ova
 
Kama Uzi unavyojielezea ndio kilichonileta kwa thread hii.... hivi nifah umeona pale kibah anawaelekeza wale wadada madancers kale kastyle yani mwana kaua

picha.JPG
Unazungumzia hapa?
Ova
 
Nimepapendaje?uwiiiii ile miguu anavyocheza sasa.....nafurahi sana kumuona Kiba jamani
Afu walikuwa wepesi kweli,na ile mikono walivokuwa wanaichezesha ni hatariii!!kwa kweli he did what I expected!!
 
Afu walikuwa wepesi kweli,na ile mikono walivokuwa wanaichezesha ni hatariii!!kwa kweli he did what I expected!!

Na zile shots za kwenye kioo je?dah....mali ni nyingi nyumbani....
Video tamu sana hii
 
Back
Top Bottom