ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
-
kiukweli video ni kali kwa alikiba na anajitahidi kulitafta soko la kimataifa ila maudhui ya wimbo hauonekani kabissa kwenye video yaani kwa mtu asiyejua kiswahili ukimwambia hii nyimbo ina ujumbe mkali lazima apinge ... nimegundua ali alikamia saana kuifanya video hii , enewei , ni mtazamo Wanguu
Saaana tu,na bado.
Hatariiiii na ndio maana watu wamepanik maskini
Na pale alipovaa white on stage pale...Ewaaaa,..hapo hapo
Na pale alipovaa white on stage pale...
Afu walikuwa wepesi kweli,na ile mikono walivokuwa wanaichezesha ni hatariii!!kwa kweli he did what I expected!!Nimepapendaje?uwiiiii ile miguu anavyocheza sasa.....nafurahi sana kumuona Kiba jamani
Afu walikuwa wepesi kweli,na ile mikono walivokuwa wanaichezesha ni hatariii!!kwa kweli he did what I expected!!
Wengine wanapita kimya kimya!!Kiba kafunika habari za tuzo,white party na manini sijui...Hahahaa mbilimbi, ukwaju, ndimu wanywe hio cocktail,kwakua wapo humu wanazagaa kama mende wa chooni ujumbe wataupata
Na zile shots za kwenye kioo je?dah....mali ni nyingi nyumbani....
Video tamu sana hii
Na pale alipovaa white on stage pale...
Hatarii hatarii,yani nimeiangalia zaidi ya mara tano toka mchana, siwezi kukinai kwakweli
Hatarii hatarii,yani nimeiangalia zaidi ya mara tano toka mchana, siwezi kukinai kwakweli