Ali Kiba Fans' Special Thread...

hii video imeumiza sana wengi,hawakutegemea

Hilo ndilo linalowachanganya. Hawakujua kama jamaa atatoka na kisu kama hiki. Alifanya vizuri sana kutotaja mapema kampuni iliyofanya Production, wangeweza kujipima mapema.
Ova
 
Hilo ndilo linalowachanganya. Hawakujua kama jamaa atatoka na kisu kama hiki. Alifanya vizuri sana kutotaja mapema kampuni iliyofanya Production, wangeweza kujipima mapema.
Ova
aisee kwenye video alitupoteza wengi
 
Hivi pale stejini ilikua show ya wapi au aliipiga kipind anachoshut kideo cha mwana ?
Watu wote walikua wanaserebuka tu ckumuona aliekaa

Imepigwa video tu ile, haikuwa show! Ila jamaa wamawatumia vizuri sana extras hadi unaweza ukadhani ilikuwa show ya kweli. Jamaa wamejua kuifanya kazi, iko tofauti kabisa na nyingi zote alizowahi kuwatengenezea Wabongo wengine.
Ova
 
insta leo nako patam zari wameweka picha za wema akiwa uchi,team wema wamejibu mapigo wameweka ile video zari anajipiga dildo
 
Watu washamba!eti walitaka wamwone Mwana mara kalewa,mara sijui kafanyaje!!woo kama wanataka ivo waombe bongo movie watengeneze movie tuu!!

hiyo ndiyo inaitwa suprise, walikuwa wana video yao kichwani sasa wamestuka kitu kimekuja kivinginee tofauti na matarajio yao alafu kaliiiii, sasa wanabaki kutapatapa tu na kutafuta pa kutokea, wanadhani alikuwa ana-act bongo movie eeeh??? Kiba ni mwanamuziki bwana, pop it in......., na bado.
 
siku maadui zake wakimjua sijui ajifiche wapi

hawana lolote wao si walimtaka wema wao na walivyo sifuri wema anaendekeza uswahili wa kugombani mabwana mwenzao jokate amesaini mkataba wa bilioni8.5 na wachina kutangaza bidhaa za kidoti
 
I like Hiz competition kwa kweli ,siku moja our music,our language our stories,our business and our own people will mean something to the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…