Binafsi namkubali sana Alikiba tangu nimeanza kumuona kwenye nyimbo ya SIKUONI napenda vile anavobadilika na kutupa radha tofauti tofauti za muziki.
He's keeping it real mazee!
video ilipotoka tu mpaka zile bwembwe za promo za white party ya UG zikawa haisikiki tena,haters wamepanic mno,
kuna mdau jana alisema video ikipata views laki moja anajiua now ni #63336 ndani ya siku mbili,matamko mengine ya kijinga sana,mtu katulia ili wasanii wapya nao wapate nafasi wasikike halafu anakuja kuwafunika tena.
Ninachosubiri kiba afanye colabo za nguvu now na wasanii wa nje na asiwe anachelewesha video zako
mi huo wimbo wa sikuoni huwa ndo naupenda sana,chorus kaimba vizuri halafu aliyemshirika naye alikuwa vizuriBinafsi namkubali sana Alikiba tangu nimeanza kumuona kwenye nyimbo ya SIKUONI napenda vile anavobadilika na kutupa radha tofauti tofauti za muziki.
He's keeping it real mazee!
Watu wengi sana husoma trends humu ndani (JF) bila ku-comment na mi ni miongoni mwao. Braza Mdakuzi napenda sana uandishi wako wa hekima.
Napenda ujio wa king alikiba. Tulikua tumekosa vitu adimu, vitamu kutoka kwake.
Mi nipo kenya. We waona Kwanini alikiba alikua msanii pekeyake aliyekuwa searched Mwaka huu 2014 kushinda msanii yoyote yule nchini kenya? We love him more than he thinks!!!
Thanks
shukran sana. Kiukweli JF ingekua ya-bore mkikosekana watu wenye ushawishi na hekima katika uandishi kama wewe. #loveJF #lovealikiba .Asante sana ndugu yangu. Najua mnavyojivunia talents za wana wa East Africa, mapema nimepitia majukwaa yenu kule nimeshangaa mnavyokubali video ya Mwana, lakini majukwaa ya hapa nyumbani kwake Kiba kuna vita ya kuiponda video, hadi jukwaa limechafuliwa kabisa.
Nafurahi sana kwa kunipongeza hadharani, itanisaidia sana kuhakikisha kwamba siipotezi pongezi hii kwa kuanza kutukana watu au kugombana na watu hapa jukwaani, nilizoea kupokea PM tu za wanajukwaa kunipongeza kwa uandishi, lakini leo nimepata ya hapa hadharani, asante sana.
Ova
Mwacheni apumzike Kiba muda wake ilishaisha msimlazimishe kushindana wati mwenyewe alishakubali kushundwa.video ilipotoka tu mpaka zile bwembwe za promo za white party ya UG zikawa haisikiki tena,haters wamepanic mno,
kuna mdau jana alisema video ikipata views laki moja anajiua now ni #63336 ndani ya siku mbili,matamko mengine ya kijinga sana,mtu katulia ili wasanii wapya nao wapate nafasi wasikike halafu anakuja kuwafunika tena.
Ninachosubiri kiba afanye colabo za nguvu now na wasanii wa nje na asiwe anachelewesha video zako
Nampenda kiba n' off course I'm his no 1 fan
Mwacheni apumzike Kiba muda wake ilishaisha msimlazimishe kushindana wati mwenyewe alishakubali kushundwa.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk