ni vigumu kufanya kitu without comparison kwa muziki wa tanzania daimond na kiba ndio wasanii ambao unaweza kuwacompare.... tena locally... international sikusimulii... daimond kampa changamoto ya kimziki ali, kataa kubali, ally asingewaza kwenda kufanya video sauth africa, ali hakuwahi kucheza vizuri kwenye video.... hata stejini alikuwa anapanda bila dancers.... vitu ambavyo daimond alikuwa anafanya three years ago.... ndio maana ninasema for now ali kumfananisha na dangote ni kumwonea the guy yuko miles nyingi sana kumzidi, dai is so international artist, ally achukulie hiyo kama changamoto... aache kuchukulia vitu poa ajifunze kwa watu waliomakini na music industry kama daimond.... sio kusifiwa na watanzania na kenya then anabweteka.... nimeishi kenya mtu wangu, ally kiba na jide ndio waswahili ambao wana hits nyingi, then what??? cha kushangaza daimond anafanya show kwa 5000/= ya kenya,,, almost 72,000/= ya kitanzania na panafulika,,, then anaondoka anawaacha wanaendelea ku hit ye anapiga pesa.... kiba ajifunze sana kwa daimond, uwezo wa kujibrand... kutembea na team ambayo inasaidia kuwa update fans wake kila situation inayotokea kwake.... kuwa na crew yake, dancers wake ambao anafanya nao mazoezi na ahakikishe kama promoter atamwitaji kwa show aweze kugharamia crew yake, tumechoka kumsifia kuwa anasauti nzuri, tunataka kumwona anatamba kimataifa si kingine, kwenye sanaa yupo zaidi ya miaka kumi imetosha kutuburudisha, anahitaji kufikilia jinsi ya kusonga mbele.. at least daimond kaonyesha kuwa mafanikio yanawezekana hata kwa lugha yetu bila kumix na lugha yao.... nitamweshimu daimond kwa sababu ana spirit ya kuangalia mbele zaidi... tunahitaji ratiba ya show ya celebs zetu ziwe ni.... da>Lagos>capetown>abuja..... sio arusha>nachingwea>lindi>mtwala.... naamini umeelewa namaanisha nini, naamini kuna watu ambao wanakutana na wanaongea na ally yaweza kuwa wewe pia, tusitumie muda mwingi kumsifia jinsi anavyofunika mtaani bali tumshauli kwamba this time akikutana na the like R_kerry, 2face idibia ajaribu kushare nao utanzania wake ili utanzania wake ujulikane mpaka nchi za watu.... kama umehisi niko hapa kwa kumkandia kiba, ni mtazamo wako but siamini kama kiba anafurahishwa na kusiwa kuwa anahit bcoz ni jambo alilolizoea from cindelela hajawahi kuachia nyimbo haijahit... sasa inabidi tumsifie msanii wetu kwa kufanya kitu kipya
Nimekukataza kumlinganisha kiba na diamondi,kwa sababu unang'ang'ania kuwalinganisha huku umemuweka diamond sehem fulani.
Sjui utanielewa ntakapokwambia diamond ndiye msanii ninayeweza kumlinganisha na P square africa,lakini diamond hawezi kuwafikia???
Itasound kiushabiki wa p square zaidi.
Ndio maana nakwambia acha.
Unajaribu kuficha kilicho moyoni mwako ila inashindikana.nimekwambia kiba ni kiba hawezi na hatafanya kama diamond sababu yeye sio Diamond na hayuko sababu ya diamond.
Labda tu nikustue.
Diamond ndiye-msanii wa kwanza kutoa video ya 48 mil,ndite msanii wa kwanza kuwa na wealth 1bn kwenye acc,ndiye msanii aliyefanikiwa akiwa kijana wa umri mdogo kupitia muziki,ndiye msanii ambaye toka amehiti hajapata mpinzani,ndiye msanii aliyetoa video bora tanzania,ndiye msanii aliyetembea na wemma,pEn,wolPerr,uwoyer,lisaa,zali.
mpaka hapo upo?
Kwanini kiba anaimba muziki hajafanya yooote hayo,tunaweka comperison!!!!!!!
kwanini aonekane hata kumkaribia ilhali hata wanachokiimba ni tofauti,inawezekana malengo ni tofauti pia!!!
Clouds siku hiyo wamewaweka pamoja kila mtu kashuhudia kilichotokea,baada ya hapo kila mmoja akoge alale.
Kiba tuimbie,tufurahi siye.
Wimbo umetoka hata mwezi haujaisha siusikii,kupanick kubaya.
Mwambieni asiogope yeye super ikon,ila kiba ndiye mfalme wetu sisi,akianza kuimba woooooooote tunasimama kwa heshma,na kunyamazisha wote wanaopiga kelele.