Ali Kiba Fans' Special Thread...

kiba ni veterani hawez kimbizana na makinda ataumia misuli mumuache apumzike na wengine hakika kwa promo aliyopewa kiba angekuwa ashatoa hata ngoma na trey songz siku zote nalia na management yake inajisahau sana na inamuangusha mfano suala la video ni mahaba tu ndio maana twaipa ecko bt kiukweli hajaitendea haki hata kidogo na angalizo kwa fans wa wasanii wa bongo hakuna mtu anaweza enda international level kwa kuanzisha beef nalocal artist cz hatokunufaisha kwa lolote
 

Mkuu,mimi naona management ya kiba pia iko primitive sana. Na bora watu tukosoe penye ufa ili mtu arekebike kuliko kusifia ambapo hapafai.
 
ni kweli kunyamaza kutamfanya abweteke inshort tumsaport na ukweli huo ndo urafk wa kweli sio mtu unasifia afu moyon unamashaka acheni hzo
 

mkuu nashukuru kwa kunisaidia hili,.. Umeandika sawia na jinsi nilivokua nafikiri. Huyo daimond kaandikwa vizuri sana kwenye wikipedia na ni utambulisho mzuri ktk mziki wa bongoflava.
Kiba mnampa mzigo tuu wa mawazo maana alishajisahau so ni kama mmemwamsha usingizini na kumwambia amfukuzie daii... Ni kichekesho!!!!!
 
Mkuu,mimi naona management ya kiba pia iko primitive sana. Na bora watu tukosoe penye ufa ili mtu arekebike kuliko kusifia ambapo hapafai.

Management aipo primitive ila ww ndio primitive static kabisa
Hivi unaijua Rockstar ww ?
 
VIEWS 70K wimbo una Siku Tatu..... Diamond alikuwa na Views 122K ndani ya Masaa 22 tu...

Kuwa na viewers wengi sio sababu ya kuwa wimbo mzuri wengi waliangalia kufwatana na maskendo yake anayoyafanya kamaliza sex tape ya uganda leo kaachia ule wimbo wake kiba uko juu hata mkikataa skendo zina mwisho wake watu watazoea watakuona wa kawaida
 


Nimekukataza kumlinganisha kiba na diamondi,kwa sababu unang'ang'ania kuwalinganisha huku umemuweka diamond sehem fulani.

Sjui utanielewa ntakapokwambia diamond ndiye msanii ninayeweza kumlinganisha na P square africa,lakini diamond hawezi kuwafikia???
Itasound kiushabiki wa p square zaidi.
Ndio maana nakwambia acha.

Unajaribu kuficha kilicho moyoni mwako ila inashindikana.nimekwambia kiba ni kiba hawezi na hatafanya kama diamond sababu yeye sio Diamond na hayuko sababu ya diamond.

Labda tu nikustue.
Diamond ndiye-msanii wa kwanza kutoa video ya 48 mil,ndite msanii wa kwanza kuwa na wealth 1bn kwenye acc,ndiye msanii aliyefanikiwa akiwa kijana wa umri mdogo kupitia muziki,ndiye msanii ambaye toka amehiti hajapata mpinzani,ndiye msanii aliyetoa video bora tanzania,ndiye msanii aliyetembea na wemma,pEn,wolPerr,uwoyer,lisaa,zali.
mpaka hapo upo?

Kwanini kiba anaimba muziki hajafanya yooote hayo,tunaweka comperison!!!!!!!
kwanini aonekane hata kumkaribia ilhali hata wanachokiimba ni tofauti,inawezekana malengo ni tofauti pia!!!

Clouds siku hiyo wamewaweka pamoja kila mtu kashuhudia kilichotokea,baada ya hapo kila mmoja akoge alale.

Kiba tuimbie,tufurahi siye.
Wimbo umetoka hata mwezi haujaisha siusikii,kupanick kubaya.

Mwambieni asiogope yeye super ikon,ila kiba ndiye mfalme wetu sisi,akianza kuimba woooooooote tunasimama kwa heshma,na kunyamazisha wote wanaopiga kelele.
 

Na bado watatokea watu fulani watajitia hawajakuelewa. Ulichosema ni kweli, watu wanamtafutia ushindi Nassib kwa Kiba wakitumia vitu vidogo vidogo sana.
Yaani wakati mwingine naona huu utoto unafanywa humu wadogo zetu wakijua ID's zetu wataendelea kutuheshimu kwa mapni yetu tunayoweka humu JF?!
Wanamuziki wshindanishe kwa uwezo wa kuimba ama kwa kuandika, maana hizo ndizo kazi za mwanamuziki, na ndicho kipimo chao stahiki kabisa.
Lakini watu wamehamia kwa viewers wa YouTube ambazo zinahesabu kujua nani katazama bila kujua alifika mwisho kutazama au aliachana nao kwa kuupuuza?
Haya huo wimbo wenye viewers wengi sasa uko wapi? Wimbo umechakaa hata mwezi bado, nasikia anajiandaa kutoa wimbo mwingine.
Dahhhhh! Sijui kwanini Jambo Forums ilikufa?!
Ova
 
Ndo nakuona mkuu, naona kimbunga hadi kimetuhamishia huku. Video ya Mwana imetikisa JF aiseeh, maana watu walijua kujitoa akili jana hadi hakukuwa na ladha ya JF tena.
Ova

kwani uzi ule special wa aly uko wapi jamani siuoni?
 
Management aipo primitive ila ww ndio primitive static kabisa
Hivi unaijua Rockstar ww ?

Siijui labda unijuze. Mnasifia ujinga huku video inaboa hvo?Mwacheni Kiba afanye yake anavojua yeye kwan mwanzo alpokuwa anahit mulihusika kwa lipi. Musimlazmishe kushindana.Kwakweli mnamdhalilisha bure.Dah,kaka wawatu anakata mauno na kushake kama biyonce kisa ushindani. Sio fair kabisa mnavompelekesha jamaa.
 
Uzi umefunguliwa rasmi.mkianza kupost ujinga naufunga kabisa.nini mimi invisible
 

Uliwah kumuona mtu akimuambia kiba shindana ? Au uliwahi kumckia kiba akisema anashindana na mtu ?
Ujui chchte kuhusu mziki ila unapenda ubishani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…