Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ile video inaangaliwa mwisho Tunduma haivuki mipaka yani siku ya tatu haijafika hata views 100k!director yupo vizuri ila tatizo ndugu yetu ameenda na bajeti ya glanza
 
Nimeingia YouTube kutafuta video ya mwana nimemkuta mbuta nanga anacheza wimbo WÅ mwana!! Nimechekajeee!! Huyu mama zinamtosha mwenyewe
 
Ile video inaangaliwa mwisho Tunduma haivuki mipaka yani siku ya tatu haijafika hata views 100k!director yupo vizuri ila tatizo ndugu yetu ameenda na bajeti ya glanza


Tehh tehh tehh,ulitaka akatoe 48ml then aje ajitangaze???keshakua haruhusiwi kufanya utoto huo.

Kama video imekuboa,nenda kaendelee kuhesabu views za jamaa yako zikifika mill 80 mwambie akupe nawewe ukanunulie X5 au prado.

Achana na king.
 


Tehh tehh tehh.

Nawewe ulitarajia kumuona mwana anayeimbwa!!?

Vip wimbo wa jamaa yako una muda gani toka utoke,maana siusikii hata kwenye boda boda!!au mpaka niende kwenye white part?
 

hivi kumbe comparizon wanazifanya wao alafu utasikia sie ndio twawalinganisha!!!
kwanini mwalazimisha kulinganisha maji na mafuta? yana umuhimu ndi ila matumizi tofauti(waelewa wataelewa), kila anachofanya kiba mmemkabaa koo eti anashindana na dai!! kwani tz kuna wasanii wangapi na wanafanya vitu vzr tu mbona hamuwalinganishi?? jibu ni rahisi tu - hakuna anayewanyima usingizi kama kiba na hiyo ni kwavile uwezo wake mnaujua, so mkiona anafanya mambo mazuri mwaumia sana roho na kutafuta kila aina ya chokochoko maana mnajua balaa laja, so nyie acheni kelele nyingi tulieni muone mambo mazuri tena bila papara,kukurupuka,scandals,kutokujiamini na kwa umakini wa hali ya juu, kiba ni kiba na atabaki hivyo, kamwe haitotokea awe mtu mwingine.
 
Oyooooooo,afadhali jamani!Kha....siku ya jana ilikua mbaya kwelikweli!
 

Teh teh.....watu walitaka kumuona MWANA kama Mac.Mugga ...
Ushamba mzigo.
 

Ni kweli ulichoongea, wakati mwingine mashabiki ndio uwaangusha wasanii wetu.
 
Kama yepi hayo?

Kwani wewe umeelewaje??Abeg am not the enemy ooh!!Namaanisha mambo ya PM,kwani samwel Kiwelu hukusikia kuwa alianzana na Matola Pm hakujibiwa!akaja kumwaga radhi hapa!!Mtafaruku ukatokea!!au wewe una tafsiri gani?mambo yote ya Pm jamani za kuambiwa changanya na zako!
 
Hilo sio jibu,ndio maana nimeuliza

Mhu kama unadhani nipo kulee nlipokwambia wewe na mwenzio kuwa mwende PM walaaa yani sipo kabisa!!U have the freedom to do as you wish!Usinichukie bureee simaanishi nyie,hayo mambo personal hayanihusu nazungumzia mambo ya 'mtafuruku' plz!
 

Nifah and Ms.Licoln cc wote ni kiba fan so amani itawale juu yetu
 

Mhu kama unadhani nipo kulee nlipokwambia wewe na mwenzio kuwa mwende PM walaaa yani sipo kabisa!!U have the freedom to do as you wish!Usinichukie bureee simaanishi nyie,hayo mambo personal hayanihusu nazungumzia mambo ya 'mtafuruku' plz!

My dear Ms.Lincoln nimeuliza tu mumy,thou nilihisi kua ni yale ya juzi waliyoyaleta wale wajinga hadi wakatuondolea mood ya kufaidi video ya King wetu Kiba.
Ndio maana nimekuuliza ili udadavue vizuri watu waelewe kua issue za familia sio za kuleta JF.
How can I hate you dear?c'mon....
I love you as my fellow Kiba fan,tupo hapa kufurahi na kushare mambo yote yanayomhusu Kiba,chuki ziwepo za nini?
Sisi ni familia sasa,nawapenda hakuna mfano.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…