Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mbona zingine kachukua akichukua kila sehemu kuna watu watapooza

Hahahaaaa umenikumbusha mlivyojisifia eti alishinda tuzo 2 waandaaji wakakosea wakampa 1...hivi iliishia wapi???
 
Hahahaaaa umenikumbusha mlivyojisifia eti alishinda tuzo 2 waandaaji wakakosea wakampa 1...hivi iliishia wapi???

Weee alichukua mbiliii si walimfitini kua kachukua moja
Chezea magazet ya udaku
 
Wewe nawe tuliza b.usha chini naona linakusumbua nenda ukapate chanjo au hujasikia yana chanjo/tiba??? nenda ukapate mwisho kesho
Alafu ndio uje huku baada ya kupona

nashukuru kwa kunikubusha ngoja niwahi foleni nikipona kila k ni kutwanga tu hata yako.......nayo italiwa
 
nashukuru kwa kunikubusha ngoja niwahi foleni nikipona kila k ni kutwanga tu hata yako.......nayo italiwa

He???inamaana hawa watembeza nyapu huku JF huwaoni jamani???Mimi sio aisee,tena ukome kabisa...
 
He???inamaana hawa watembeza nyapu huku JF huwaoni jamani???Mimi sio aisee,tena ukome kabisa...

nimetubu sirudiii tena plz ngoja niwatafute hao wauza nyapu naogopa kukatwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…