Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mnafiki ni mnafiki tu hana namba iwe 1 au 100 ndio yuleyule....hivi anayeweweseka hapa ni nani???rudi pale mwanzo wa thread uone niliitwa hapa na Matola sio wewe unayejipendekeza...hujaitwa unakuja ukiitwa je????
Mama hao ndo magumegume yaloshindwa na mtume hutowaweza!kwa mtindo huu Kiba ikitokea akaja aje na vifaru la sivyo atachanganyikiwa na upole wake!
 
Last edited by a moderator:
Mama hao ndo magumegume yaloshindwa na mtume hutowaweza!kwa mtindo huu Kiba ikitokea akaja aje na vifaru la sivyo atachanganyikiwa na upole wake!

Vifaru tuko hapahapa....uwiiiiii chezea miss Strong wewe....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom