Kiruuuiiiuiiiiuuu kumbe kaikosa mabwaku
Leo bajeti ya maji hakuna kabisaaaa
ali vipi kachukua tuzo gani? tuhabarishane Wajamani.
nimetubu sirudiii tena plz ngoja niwatafute hao wauza nyapu naogopa kukatwa kabisa.
Kiruuuiiiuiiiiuuu kumbe kaikosa mabwaku
Hiyo hapo
dakika mbili mbele nyuma, kichwa kinauma...
Namkubali sana huyo jamaa mwenye miwani
Huo wimbo unaitwa DUSHELELE
Eheee huo huo, yaani nyimbo za mwana ni shida tupu.
Mi alinikunaga kwenye wimbo huu pia na una maana sana.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."
Daaa kuna vituko sana humu! Mimi napenda ushindani huu uendelee mkizingatia kuto sahau kununua kazi zao!
Kule WWW.mkito.com nyimbo ya Mwana Fa feat Alikiba inaongoza kwa kupakuliwa hadi sasa!
Mtifuano wa namna hii inasaidia wasanii kuto bweteka kabisa nakujua kuwa kuna upinzani kutoka kwa wengine!
Nilitegemea Matola hapo juu kwenye thread uweke website link ya mkito.com na uwaimize mashabiki wake kununua nyimbo zake.
Hata wale wa diamond nilitegemea wafungue Uzi kuhamasisha wenzao kununua nyimbo za Dianond maana haya ya kuwasifu yanaweza yasiwasaidie kabisa lakini ambacho mashabiki mnaweza kufanya ni kununua nyimbo zao na huo ndio utakuwa upendo wa kweli na ushindani ulio na tija
Shindaneni kununua nyimbo zao!
Tafadhali msitoane macho
Hivi umepiga mswaki leo au umeibiwa mume nini kila mtu wamuona gume gume humu ndaniiiππππ
Kumbe tuzo wamechukua hao mashogaaaaa
Mbona unawatesa sana....omame....
....Omame!...omame!
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana...
Ndani ya Daresalaam mambo matamu hayakukwisha...