Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ukimaliza ku comment......jipatie t shirt maridhawa ya Kiba 4 real,ntalipa.

akifanya kazi nzuri why not kumsapport?? unadhani mimi nina roho mbaya kama wewe, ninachopingana na ninyi hapa ni huku kutaka kumshusha daimond kinguvu na kumpandisha kiba kilazima, kama ujuavyo hakuna lisilokuwa na ncha, so kwanini msimuache ashuke dramatically muda wake ukifika??? na kiba ni mzuri YES muacheni apande automatic, si ndio amerudi kwenye game??? mpeni nafasi atuoneshe come back yake, mtu kakaa miaka mingapi sijui hafanyi mziki, leo karudi wimbo mmoja mnataka kulazimisha akae pale kileleni,how comes??

that's why tunaopenda mziki kwa ujumla tunaona kuna baadhi ya watu kama wewe mna chuki binafsi na mondi, na si kwamba kiba anafanya vizuri zaidi ya mondi kwa sasa, na kama anafanya vizuri kumzidi mondi kelele haiitajiki kazi nzuri hujionesha yenyewe.

sijui umenielewa????
 
Kwenye maisha kuna kubadili stragegy, Kiba ni mwanamuziki bora kabisa lakini nahisi watu alionao karibu hawamsaidii.

Unajuwa pale Ulaya kuna Christian Ronaldo na Messi kwa anayejuwa mpira anawajuwa hawa watu vilivyo na uwezo wao.

But/lakini kwenye tuzo za mchezaji bora kila mwaka anabeba Messi, Ronaldo anaishia kuwa msindikizaji tu.

Ila sasa ukirudi kuwauliza watu wa mpira wanaofatilia kweli mpira kati ya Messi na Ronaldo nani ni mchezaji bora watakwambia ni Ronaldo.
 
#Matola mzgo wa tshirt ukiingia tu brth naomba ucnisahau kweny ufalme wako

Nafanya mawasiliano ya kuzungumza na muhusika sipendi kufanya biashara ya unyonyaji kama wanaotengeneza jezi za simba na Yanga na kuziuza halafu vilabu havinufaiki.

Wakuu mwenye contact za Kiba anitumie inbox.
 
Na mimi hiyo t-shirt naihitaji, tena nitainunua mara 3 ya bei.
Si kwamba nina hela sana! La hasha, ni kwa vile napenda kazi yake, tabia yake napenda kumsaport pia.
Bepari M.
 
Na mimi hiyo t-shirt naihitaji, tena nitainunua mara 3 ya bei.
Si kwamba nina hela sana! La hasha, ni kwa vile napenda kazi yake, tabia yake napenda kumsaport pia.
Bepari M.

....naomba moja
 
Na mimi hiyo t-shirt naihitaji, tena nitainunua mara 3 ya bei.
Si kwamba nina hela sana! La hasha, ni kwa vile napenda kazi yake, tabia yake napenda kumsaport pia.
Bepari M.

Naomba uinunue mara mbili ya bei yake ili hiyo ya mara ya tatu na mie nipate tshirt maana sie wote wamoja.....lol
 
Mhhh,hongera mwaya kwa moyo ulionao...Mimi siwezi kumshabikia ndomo hata siku 1 aisee,alishanitoka kabisaaaa
 
Am sorry guys (pro mates wa Ali Kiba) nilikua busy sana hadi nimekuta uzi umeshasogea hivi...
Nilikua na wazo kama hili nikatamani nimuambie mleta mada lakini nashukuru nae alikua na wazo kama langu...wahenga walisema palipo na wazee haliharibiki jambo mimi nasema palipo na Matola haliharibiki jambo hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Unaona shost yangu ulivyo na chuki sijui husuda,t shirt mbona walinunua wengi mnoo na ziliisha wakitaka wataongeza
Shoga,hapa mjini na kuuza kwangu matunda kooote,na daladala kimi napanda daily sijawahi hata siku moja kwa bahati mbaya kukutana na mtu yeyote alovaa izo tshirt!nliona pic moja ya huyo nasseeb kavaa,so hao wengi walizivundika!!
 
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....
 
Sikuoni shost kwani hujaiona hii thread jamani???njoo kuna watu wanaleta shombo huku [MENTION=31246]Mnyaki[/ DADA
 
Last edited by a moderator:
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....

Ila ajiandae tu kwa hilo,nakwambia yule na demu wake wanavojua kuwalipa watu wa kutusi siku iyo atatukaniwa hadi babu na bibi yake!
 
Sasa nyie team ndomo mnaoleta shobo humu nawapa warning kama king Kiba akikubali kuungana huku JF na sisi mkivamia na maswali yenu ya kipumbavu sitowavumilia...sijawahi kupigwa ban lakini I swear for Kiba I will....

Baambie hao uzi wa mwenzao wanaufuatilia sijui wataka nini siwaelewhi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…