Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ukimaliza ku comment......jipatie t shirt maridhawa ya Kiba 4 real,ntalipa.
akifanya kazi nzuri why not kumsapport?? unadhani mimi nina roho mbaya kama wewe, ninachopingana na ninyi hapa ni huku kutaka kumshusha daimond kinguvu na kumpandisha kiba kilazima, kama ujuavyo hakuna lisilokuwa na ncha, so kwanini msimuache ashuke dramatically muda wake ukifika??? na kiba ni mzuri YES muacheni apande automatic, si ndio amerudi kwenye game??? mpeni nafasi atuoneshe come back yake, mtu kakaa miaka mingapi sijui hafanyi mziki, leo karudi wimbo mmoja mnataka kulazimisha akae pale kileleni,how comes??
that's why tunaopenda mziki kwa ujumla tunaona kuna baadhi ya watu kama wewe mna chuki binafsi na mondi, na si kwamba kiba anafanya vizuri zaidi ya mondi kwa sasa, na kama anafanya vizuri kumzidi mondi kelele haiitajiki kazi nzuri hujionesha yenyewe.
sijui umenielewa????