Sasa ile video ya porno star ndio imeshakufa kifo cha mende?
Nainai ukinikubali sikatai jua you always on mind (always on mind)
Ukinipa sikatai nakupenda sana you always on mind (always on mind)
Always on mind,swaga zinanimaliza....
Eeeh bwana eeh,King aliua sana kwenye hii chorus.
What's up lovely family?I miss you guys...
Utamu kunoga acha kabisa.Wengi wamependa sana lile dance,Kiba katisha sana mule.
Nilichofurahi hajawaweka wale madancers wa kiume waana wangeharibu....kaua mwenyewe kinyama yani.
Hahahaaaa,porn star kaona kapotea kwenye media juzi kawadhalilisha ma ex zake...hasa Penny...
Ali k for really
Ali k for really
Nimetoka kuangalia video yao na Blacket yaleyale yakutaka kugeuza muziki kuwa sinema! Heti mgonjwa wa cancer yupo kitandani wodini na bado anaimba mwe!!
Video mbovu kabisa kumbe ndio walitaka King Kiba naye aingizwe mkenge huu.
yo missed too, yaani huo wimbo bila hiyo chorus cjui hata kama ningeuckilizaga, amshukuru sn kiba mjinga yule
Haha haaaaa...hongera mwaya,wenzio wanayatafuta hayo mambo mengi hawayapati.
Katika pita pita zangu YouTube nimekutana na kipande cha wimbo wa King Kiba (bado haujatoka) unaitwa hela....Ni mzuri kautafuteni na nyie.
Achana na yule mjinga namchukia kwelikweli yani...
Naona mwisho wake umefika aliriinga wee King alivyoamua kupumzika,King karudi sasa arudi zake kigoma kuuza dagaa wake aliowatelekeza huko.
Nilikuwa sijatulia kuingalia kiumakini leo nipo home fulltime ndio nimeifuatilia vizuri ina TBS zote.
Wale wanaotaka Sinema badala ya muziki walete maombi itengenezwe sinema na huu wimbo ndio uwe sound track otherwise hakuna walijuwalo kwenye muziki zaidi ya umbululaz tu.
Ha ha ha!!akishirikishwa huwa nauoga fulani hatoi sauti!!anamung'unya maneno tuu!!hadi huruma!!hahahaaaaaaaaaa!!!! nicheke mie niongeze cku za kuishi, mie hata sielewagi anaimba nn maana naona anaongea tu kwenye beat
Watakuwa wanatafuta mambooo hao.
Watakuwa wanatafuta mambooo hao.