Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
khaaaa!! mambo gani tena hayo? nayeye kwanini anawaachia watu wasojielewa kuwa na hizo nyimbo ambazo hazijawa relized?
Ao ndio watu walioproduce izo ngoma mfano pita mbele na hiyo hela
Wasanii wengi wana tabia baada ya kutengeneza wmbo wanawapa watu wao wa karibu wasikilize kama upo poa ,apo ndio mtihan unapkuja
Aliyepewa kuckiliza na yy atampa rafiki ake ,rafiki ake atampa mtu wake na mtu wake atampa Shoga ake at the end utauona Kwenye blongs za watu