Ali Kiba Fans' Special Thread...

khaaaa!! mambo gani tena hayo? nayeye kwanini anawaachia watu wasojielewa kuwa na hizo nyimbo ambazo hazijawa relized?

Ao ndio watu walioproduce izo ngoma mfano pita mbele na hiyo hela
Wasanii wengi wana tabia baada ya kutengeneza wmbo wanawapa watu wao wa karibu wasikilize kama upo poa ,apo ndio mtihan unapkuja
Aliyepewa kuckiliza na yy atampa rafiki ake ,rafiki ake atampa mtu wake na mtu wake atampa Shoga ake at the end utauona Kwenye blongs za watu
 
hiyo ni taabu bin taabu
 
Kiba wengi sn wanamkubali ila hawajijui tu, wananifurahishaga wanavyomkubali kishingo upande huku wanaponda, hahaaaaa utumwa mwingine bwana, Kiba tupe burudani baba tuzidi kufurahi
 
hahaaaaa!! unaanzaje kuchoka sasa

atoto nimekumiss!nlikuita wewe na nifah kwenye uzi wa matusi ya mtoto wa tiba!!ni mrembo hatariiii!!Ha ha ha ungecheka ufeee!!Watu wakasema angezaa na dai mtt angekua dolphin!!@Abou ndo kazimika naye sasa!!
 
Last edited by a moderator:

Wapi huko jamani hebu niite tena mpenzi nikacheke mimi
 
Last edited by a moderator:
atoto nimekumiss!nlikuita wewe na nifah kwenye uzi wa matusi ya mtoto wa tiba!!ni mrembo hatariiii!!Ha ha ha ungecheka ufeee!!Watu wakasema angezaa na dai mtt angekua dolphin!!@Abou ndo kazimika naye sasa!!

Aku mi nizimike pale nakana
 
Last edited by a moderator:
atoto nimekumiss!nlikuita wewe na nifah kwenye uzi wa matusi ya mtoto wa tiba!!ni mrembo hatariiii!!Ha ha ha ungecheka ufeee!!Watu wakasema angezaa na dai mtt angekua dolphin!!@Abou ndo kazimika naye sasa!!

wapi huko mamii? c unajua nipo safarini natumia cmu cant see notification, ni wapi?
 
Last edited by a moderator:
atoto nimekumiss!nlikuita wewe na nifah kwenye uzi wa matusi ya mtoto wa tiba!!ni mrembo hatariiii!!Ha ha ha ungecheka ufeee!!Watu wakasema angezaa na dai mtt angekua dolphin!!@Abou ndo kazimika naye sasa!!

miss u more
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…