Kumbe tuzo wamechukua hao mashogaaaaa
Walikua wanatafuta umaarufu tu sidhani kama ni kweli...
Ndomo kakosa tuzo? Usiniambie nimesikia vibaya binamu??
Hana vigezo atiii au hujuma tena!waandaaji walilipwa na nani saa hii!Kakosaaaaa fungulia home theater hizo hadi mwisho...Mimi naserebuka hapa na mwanadaslam....chezea
kama kimekuuma kuja kwenye hii thread take a chill pill.................
na naendelea kuwepo sibanduki asilani.....,
Utabandukaje na wewe unafiki ndiyo jadi yako?? Heheh
Kiburi si maungwana eti!
Hana vigezo atiii au hujuma tena!waandaaji walilipwa na nani saa hii!
Haaaaaaaaaaaaa its not a laughing matter ila yanipasa kucheka........
MNAFIKI nambari moja nimeingia... endelea kuweweseka nishasema sibanduki
halafu kama matusi nayaweza saaaaaaaana..., umeishiwa hoja unaanza kutukana BUHAHAAAAAA
Hahahaaaaa loh!!!!kumbe sijabahatisha eeh????
Balaa hili tena.....
Haswaaaa mwanakwetu!
Maneno yake yenyewe yanaonesha tu....meusiiiii ka chungu cha kale!
Hamu....wewe bado mtoto wa mama hujayajua mengii
Mwenda tezi na omo marejeo ngamaniiiii
Oooopss na ukishatukana ndo inakuwaje labda au inakufaidia nini kwa mfano????
Na kwa taarifa yako matusi huyaweziiiii na kama unayaweza huna haja ya kujinadiiiii......ebu tomboka tuyaone ka ni mapya au ya kizamani!!
Uwiiiii chungu cha kale ni hatariiiiii
Amesema sana mama...
Dunia tambala mbovuuu...
Hahah ni hatari kwa weusi tu ila ukitaka kukipasua unakipasua kawaida tu! Kwani sh.ngapi???
hahahahaha lo jf raha bakuli la maneno
Eng'washii