Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Abou Saydou
Kiba anafunika kwa masuti ya ukweli...sio yule mpenda skendo mpaka skendo ndio apendeze teh teh teh....ngojea nikajifunze kile kistaili cha Kiba kwenye video kuchezesha miguu ni hataree hehehe
matumbo best umeenda kwa Mange?katoa somo la maana kwa wanawake jinsi ya "kumpata man of your dreams" hasa kwa wale watafutao!Nenda bwanaaa!
Last edited by a moderator: