Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Umeongea point sana nifah wangu. Wajua tatizo kuna watu wameanza kufuatilia muziki juzi tu hapa, hayo mambo ya Mac Muga wao hawayajui kabisa.
Anazungumzia kufuta vumbi kiti chake, hayo ni maneno alisema kwenye interview kwenye kipindi, alikuwa akijibu swali. Mtu anaulizwa ajibu nini?
Mwanamuziki ashindani ila kazi yake ndio inashindanishwa na mashabiki, usiyegemee mwanamuziki atatoka kuomba ashindanishwe na fulani au fulani.
Eti kukimbia ushindani, King Kiba alisema wazi kwenye mahojiano aliamua kupumzika kutoa nyimboi, ili kutoa nafasi ya kuwatoa wengine akatolea mfano Ommy Dimpoz.
Na akakiri kwamba alikuwa na tatizo la Management nalo lilimfanya atulie ili kutafakari nafasi hiyo hadi alipopata njia.
Ukweli Kiba aliendelea kurekodi nyimbo lakini hakuwa akizitoa na ndio maana Mwana ilirekodiwa 2012, nenda kwa Man Water atakuonesha mpaka muda aliorekodi.
Kwanini uwe na wasiwasi na ujio wa King Kiba wakati wimbo alioanza nao wa Mwana unafanya vizuri mpaka sasa kwa kipindi cha miezi mitano?!
Kafanya vizuri kwenye collabo ya Kiboko yao, kapiga show kali na kufanya mashabiki wawazomee wengine na kushangiliwa yeye tu, kwanini usiwaonee huruma wengine na kumwamini yeye?
Ova

hata wanaelewa basiiii, kila afanyalo kiba kwao baya mara anakata viuno, sasaaaa mnavyotutingishiaga makalio na kuvua nguo jukwaani yale ni tuyaiteje!!!
hebu mwacheni king afanye yake na km mwaona sie twapiga kelele nyie watulivu kutwa kuhashuka humu mwatafuta nn???
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeee Diva na aje kuokoa hili janga jamani!

hivi ni wapi kiba aliwahi kusema anashindana na ndomo???
kujistukia kubaya sana na kutafsiri kila jambo kwa namna unayotaka wewe na ukataka kila mtu aamini hivyo.
so in other way kumbe mwashindana na kiba!!!!
okey endeleeni tu walaa hamshikiwi jambia
 
Last edited by a moderator:
Nampenda sana kijana Wang king kiba

sanaaaaaahh! duuh watu wanaongezeka tu na ndio watu wanazidi kuumia na kutafuta every justification ili kiba aonekane mbaya, kizuri chajiuza meeeen!!
 

Attachments

  • 1419788707664.jpg
    1419788707664.jpg
    67 KB · Views: 110
  • 1419788731180.jpg
    1419788731180.jpg
    49.7 KB · Views: 103
  • 1419788750014.jpg
    1419788750014.jpg
    88.2 KB · Views: 105
Last edited by a moderator:
hahaha nipo sema niko huku na network inasumbua kidogo huku tunatumia ya Uganda! Marry Christmas

Na nilitaka kukuuliza uko bukoba nini?
Aisee hiyo picha ya pili hapo mate yamenitoka...penda sana ndizi nyama mimi!
 

Attachments

  • 1419791139473.jpg
    1419791139473.jpg
    32.3 KB · Views: 84
  • 1419791162368.jpg
    1419791162368.jpg
    43.3 KB · Views: 80
Last edited by a moderator:
huyu mzee anazeeka vibaya sasa, alianza kwa kutongoza wajukuu zake humu sasa naona anazidi kuwa worse.

Tuheshimiane mdogo wangu,nani nimewahi kumtongoza humu ndani? niheshimu nikuheshimu,usipo niheshimu sito kuheshimu.
 
ALLY KIBA
ANAPOYAKIMBIA MAISHA YA BILA PRESHA YA BARNABA


unamwona Barnaba anavofanya mziki wake? anapakua hit
baada ya hit atakavyo na bila kupelekeshwa na mtu, hana
presha sjui video akatoe wap coz anajua quality ya video
yake hauwez kuwa mjadala kivile, hana presha sjui
ashndane na nan yan kiufup hana presha ya kushndana ktk
mzik na mtu yoyote, hajawai kujidai yeye ndo king wa mziki
na wala mashabiki wa muzik hawajawai kumshndanisha na
mtu yeyote kwakila anachokifanya LAKINI Kila mtu
anayemsikiliza vizuri Barnaba anakiri huyu ni mwimbaji
bora kabisa Tanzaniakwasasa, anakubalika kwanza na kila
msanii, ye hanaga maneno meng ni kaz tu zinaongea kiufup
BARNABA DOESN'T NEED TOO MUCH PUBLICITY, MEDIA
ATTENTION AND KICK TO BE APPRECIATED AS THE BEST
MAISHA HAYO ya Barnaba ndo aliyoish msanii ALLY KIBA
had pale mwaka 2012, kabla ya mwaka huu 2014 kuamua
kuyakmbia maisha hayo ya kuish kama Barnaba nyuma ya
mwaka 2009 kurud had 2006/07, mziki wa kuimba Tz
ulikuwa umekamatwa na wasanii 3 ambao ni Ally Kiba,
Marlaw Lawrance na Matonya kabla yabaadaye kila msanii
kuanza kutoa nymbo zisizotamba kwa level ile aloanza
nayo mfano Ally Kiba aletamba na nyimbo kama Makmuga,
Cinderela, nakshnakshi etc alirud 2009 na wimbo wa
usinisemee ulopokelewa kwa hisia tofaut, kabla ya
kuendelea nanyimbo kama So far away nk ambazo # nying
hazkufkia level ya nymbo za album ya kwanza kwa miaka
kadhaa sasa Ally Kiba amekuwa anatamba ila chin ya kivuli
cha wasanii kama Diamond aleibuka 2009 na chat yake
inapanda kila leo, 20% ambaye naye aliitetemesha Tz
mwaka 2010/11 nk kabla ya mwaka huu alipoamua kurud
ktk gem akiwa na rundo la tuhuma zikielekezwa kwa
Diamond, mara Diamond kafanya hiv mara kafanya vile
mara alifuta mistari yangu, mara ilibid ashrikishwe kwenye
single boy mwaka 2012, mara mi ndo nlemtoa Diamond n.k
tuhuma hiz zikisindkizwa na maneno maarufu ya
"NIMEKUJA KUFUTA VUMBI KITI CHANGU" Maneno hayo
yalikuzwa sana na vyombo vya habari na kupata sapoti ya
mda mfup ya mashabik walopotoshwa mambo mawili #
kwanza kuaminishwa Ally Kiba alikaa kimya mda mrefu wa
miaka 3 # pili madai kwamba Ally Kiba anarud ktk ufalme
wake wa muzik wakat ata kabla ya kutoa wimbo wa mwisho
Singleboy alotamba nao 2012 bado hakuwa Ally Kiba yule
unaeweza mweka juu ata ya Rich mavoko au Ommy Dimpo
Ktk kipind icho cha kurud upya kwa Ally Kiba kulishuhudiwa
mambo kadhaa makubwa ikiwemo kuzomewa jukwaan kwa
msanii mwenzake Diamond ambaye alimshushia rundo la
tuhuma, ilishuhudiwa pia mashabik wakimtukana Diamond
ktk mitandao ya kujamii bila ata wao kujua kosa lake ni nn
kawafanyia msanii uyo anayesfika kwa kuimba nyimbo za
kuwafariji maskin walio ktk mahaba mazito yenye
changamoto nying eg mbagala, kamwambie, nitarejea,
kizaizai, nataka kulewa, ntampata wap n.k Msanii Diamond
hakujibu masahibu yanayomkuta kwa maneno, bali ni kipnd
kilichofwatiwa na tuzo mfululizo za kimataifa zikienda kwa
Diamond kias cha ata watu kusahau tena kumponda, huku
pia akisindkiza tuzo hizo kwa wimbo unaotamba kwasasa
wa ntampata wap Inawezekana labda Ally Kiba hakupma
kina cha bahari anayotaka kushndana nayo, tangu arud ktk
gem nyimbo zake 3 zishatoka zikiwemo kimasomaso,
mwanadar na hela ulovuja wik ilopta. Uamuz wa Ally Kiba
kujitoa kushndana na Diamond ulikuwa ni uamuz mkubwa
mno ambao unaitaj uwekezaj mkubwa wa muda, juhud,
connection na pesa kitu ambacho nna uhakika Ally Kiba
hakujua hii imesababisha mashabik wake kila atachofanya
kulinganisha ubora wa ichokitu anachofanya na
anachofanya Diamond au kitu atachofanya Diamond
mashabik wake watataka naye afanye. Hii imekuwa ni zigo
kubwa la presha kwa Ally Kiba na endapo akishndwa
kuuhandle unaweza kumpotezea sana mashabik aloamua
kwa hiyari yake kuwagawa wa Diamond na wake. Mfano wa
dalili za mwanzo za hasara ya presha alizojipandkiza Ally
Kiba: 1. Kwenda kutoa video Sauz – hii kitu amelazimika ili
kukidh matarajio ya mashabik kuwa kwann afanye video
bongo akat wasanii wenzake wanaenda nje, japo waweza
mtetea kwamba kaenda Sauz bila kuiga wengne ila utetez
huu utazidiwa point na kwann wimbo uitwe mwanadar ila
mandhari iwe ya Sauz, ila kuna watu wanatetea tena mbna
wimbo wa mdogomdogo wa Diamond una mahadh ya asili
ya kitz ila video imechukuliwa nje……… HUU NI MJADALA
MKUBWA 2. Kwann utoe video nje afu iwe na quality ndogo
– kama Ally Kiba angeamua kuish kama Barnaba
asingepata matus ya video mbovu, mara ooh alienda sauz
na mil 4 tu kutoa video 3. Kuongezeka kwa wakosoaj wa
kaz zake – kila nyimbo au kila atachofanya Ally Kiba
kwasasa kitapokelewa kwa macho ma3, nyimbo yake mpya
ya HELA watu wameiponda mno, video ya mwana watu
wanaiponda mno maudhui hayaendan na mandhari 4.
Ufananisho wa kila anachofanya Diamond – kwasasa
Diamond akipata tuzo ya kmataifa mashabik hukmbilia
kuhoj Kiba atapata lin, Diamon akipga show labda Nigeria
mashabik wa Diamond huoj ye atapga lin ata Uganda, Kiba
akivaa nguo flan watu bado watahoj atavaaje mkoti jukwan
etc. lakin mashabik hao hawathubutu kuhoj Barnaba
atapata lin tuzo Huu ni wakat wa Ally Kiba ambaye
kafungua page yake fb mwez ulopta kujitathmin mwelekeo
wa mziki wake na ajue waz wasanii wanashea mashabik so
swala la kuwagawa mashabik si zuri kwa hatima ya mziki
wake, pia anatakiwa awe na watu wazuri kumshauri kuhusu
muzik coz ni mwanamziki mzuri ila sio mfanyabiashara
mzuri wa mzik na chamwisho aepuke kabisa kufanya mzik
kwa mashndano na mtu bali afanye mzik kwa malengo yake
alojiwekea afike wap sio amshushe nan au awe kama nan,
kwahapo atajitoa ktk zigo hili la presha alilolibeba


MAISHA
HAYATAK MASHNDANO NA MTU BALI YANAITAJ
UWEKEZAJ WA JUHUD, MUDA NA MAARIFA KUMZID MTU
NI MATOKEO. swali je ALLY KIBA UTAWEZA KUISH MAISHA
HAYA YA PRESHA ZA MASHABIKI


..Written by Frolian Martin Mgeni....

Video ya mwana Ina quality ndogo ?

Then kiba keshaamua kuita wimbo mwanadar na video kashut south na tumeipokea kwa mikono miwili
Muacheni apumue kijana wa watu mtakufa na roho za kwann

Angeshut Dar mngesema kafulia ana pesa ,binadamu amkoc la kusema🚶🚶🚶
 
Unapaniki ?

kaka hii kitu haikuhusu na siwezi kupaniki kwa hoja za kitoto,siwezi kumfumbia macho mtu anae kupa tuhuma pasipo na ushahidi....arejee post zangu zote za nyuma then aweke hapa jamvini ni lini nime mtongoza mtu hapa.
 
Video ya mwana Ina quality ndogo ?

Then kiba keshaamua kuita wimbo mwanadar na video kashut south na tumeipokea kwa mikono miwili
Muacheni apumue kijana wa watu mtakufa na roho za kwann

Angeshut Dar mngesema kafulia ana pesa ,binadamu amkoc la kusema🚶🚶🚶

hv ni 'mwana' au 'mwa dar es salaam'???
binadamu bwana, chuki zingine hata hazileti maana, waseme tu midomo ni yao na walaaaa hawalipi vat, ila Kiba ndio ashatusua hivyoo
 
hv ni 'mwana' au 'mwa dar es salaam'???
binadamu bwana, chuki zingine hata hazileti maana, waseme tu midomo ni yao na walaaaa hawalipi vat, ila Kiba ndio ashatusua hivyoo

Inaitwa Mwana na sio mwanadsm
 
Back
Top Bottom