Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

utakuwa umekimbia milembe wewe hivi akili zako.ziko vizuri kweli unabwabwaja hapa kumtafutia kibakuli umaarufu kamwe hawezi pata ?????huyo .....

Tuko likizo soon tunafungua,naona unataka tumia bundle lako vizuri kabla ya kuexpery
 
Mbulula ni mama yako mzazi aliyekuzalia guest kwa mimba aliyoipata kwenye mkesha wa mbio za mwenge.

Hahahaaaaa uwiiiiii Matola umeua...sijui ulikua wapi ukawaacha wanga wanajidai tu hapa kwenye thread yetu....lakini ili ufanikiwe unahitaji haters
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa sijutii kukuachia kijiti..jana umeniacha hoi eti hubishani na toroli hadi lisukumwe😀😀😀

Hahaha me leo mwisho nakuachia,eeh toroli mpka lishikwe nyuma ndo liende😀
 
Hahaha me leo mwisho nakuachia,eeh toroli mpka lishikwe nyuma ndo liende😀

Wewe nawe muoga sana....ndo nini sasa?kwani si ulisema utakua unashambulia mimi nitakua nyuma yako?imekuaje....
 
Wewe nawe muoga sana....ndo nini sasa?kwani si ulisema utakua unashambulia mimi nitakua nyuma yako?imekuaje....

Tunatumia 4 4 2 nkipanda ww unashuka kuzuia mashambulizi,ciogop mtu nko flexble nafeat kla sehem........😀😀😀
 
Tunatumia 4 4 2 nkipanda ww unashuka kuzuia mashambulizi,ciogop mtu nko flexble nafeat kla sehem........😀😀😀

Poa mimi stricker nashambulia siogopi hata awe beki gani....let's go
 
Picha za shoo ya Coco beach mnazo au msijali ntawaletea
 
Picha za shoo ya Coco beach mnazo au msijali ntawaletea

1414355324046.jpgleo wameshindwa kukodi watu wa kuzomea
 
Back
Top Bottom