Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sitti kavua tajii, maneno tu khaaaaa hhhhhhhaaa
 
Matola acha kuendekeza njaa. Kwanini kulazimisha kumpa alikiba umaarufu ambao hana? Utakuja aibika shauri zako.

Jamaa anataka kuanzisha mradi wa T-shirt usione anakomaa bure
 
Last edited by a moderator:
Hata nyerere alikua anatembea kutoka butiama hadi mwisenge musoma,ally k posta mbona karibu tu.........haina logic hiyo

Haha nyerere wa kondoa ndo alikuwa anatembea, ila ni aibu kwa mtu kama kiba kufanya muziki cku zote halafu aje kumtegemea mtu aliyemkuta kwenye game ili arudi
 
Kumbe kelele zote zile mpaka jasho la mkndu linakutoka ulikuwa unafukuzia dili ya Tshet za Ali Kiba?

Tukiwaambia hamna kazi ya kufanya mnatoa matusi, hivi mtu aliye bize na mambo yake atapata wapi muda wa kutembeza matishet ya Ali Kiba mitaani?

Njaa mbaya sana kumbe ule wivu kwa Naseeb ni kwa kuwa hajakukaribisha kwenye ufalme wake wa Wasafi.

Hahahah....eti Mtu na akili zake avae tshirt limeandikwa nakshi nakshi ..au cinderella hahahaha
 
Hivi jamani, hatuwezi Waafrika kuungana na kuanzisha Makampuni Mama kwa vitu kama Umeme, Simu, Reli, Ndege, Barabara na kadhalika?

Kabla ya hayo yote ungekaa na menejiment kama unavyodai then mmshauri jinsi ya kuvaa akiwa stejini na pia madansa wazuri hilo linamshusha maana aliwaaibisha fiesta ya kigoma jana.
 
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.

Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.

La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.

warumi nifah geniveros

Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.



Kabla ya hayo yote ungekaa na menejiment kama unavyodai then mmshauri jinsi ya kuvaa akiwa stejini na pia madansa wazuri hilo linamshusha maana aliwaaibisha fiesta ya kigoma jana.
 
Kuna watu wengine bhnaaa wameanzisha uzi wakaona haitoshi wameamua kuingia cha kiume cha Ally Kiba wakat wanajisaidiaga kwenye choo cha Dadamond.
 
kuna watu wengine bhnaaa wameanzisha uzi wakaona haitoshi wameamua kuingia cha kiume cha ally kiba wakat wanajisaidiaga kwenye choo cha dadamond.

bora uwaambie
mburulaz hao...!!
Hawajaitwa wameitika
wakaiitwa jeee!!!
Nafsi zinawapupa km kuku anakata roho!
 
Kabla ya hayo yote ungekaa na menejiment kama unavyodai then mmshauri jinsi ya kuvaa akiwa stejini na pia madansa wazuri hilo linamshusha maana aliwaaibisha fiesta ya kigoma jana.

alibakuli anatumia akili ya kuanzima siyo bure .
 
Kutembea mguu ndo inalogic?umekua speed meter unacount movements za mtu,?sibishani na toroli huendi mpaka ushikwe nyuma.........

utakuwa umekimbia milembe wewe hivi akili zako.ziko vizuri kweli unabwabwaja hapa kumtafutia kibakuli umaarufu kamwe hawezi pata ?????huyo .....
 
Back
Top Bottom