Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Dawa yao ni kuzomewa tu hawa, wala wasiwasumbue. Naona mwangwi wa zomeo la Fiesta bado linawapa wenge mpaka sasa ndio maana wanaweweseka.
Ova
 
Dawa yao ni kuzomewa tu hawa, wala wasiwasumbue. Naona mwangwi wa zomeo la Fiesta bado linawapa wenge mpaka sasa ndio maana wanaweweseka.
Ova

Hivi hiyo show ya mliman city itaonyeshwa kweli?kama sio fanya mpango tupate ripoti za huko nakuaminia
 
Hata nyerere alikua anatembea kutoka butiama hadi mwisenge musoma,ally k posta mbona karibu tu.........haina logic hiyo

Acha kujifananisha wewe na nyerere mbona wewe huvai nguo za magome is this a logic to you?????. Mbona hutumii majani ya migomba kula kande ? Kaa pembeni.
 
Matola acha kuendekeza njaa. Kwanini kulazimisha kumpa alikiba umaarufu ambao hana? Utakuja aibika shauri zako.
 
Last edited by a moderator:
Acha kujifananisha wewe na nyerere mbona wewe huvai nguo za magome is this a logic to you?????. Mbona hutumii majani ya migomba kula kande ? Kaa pembeni.

Kutembea mguu ndo inalogic?umekua speed meter unacount movements za mtu,?sibishani na toroli huendi mpaka ushikwe nyuma.........
 
Back
Top Bottom