Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.

Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya mfalme huyu aweze kuutunza huu ufalme wake.

La kwanza niko tayari kutoa Tshirt za Kiba zenye kiwango ambapo shughuri ya kuziandaa kuna kampuni iko South Africa inaweza kuleta Tshirt katika viwango vya USA.

warumi nifah geniveros

Nisaidieni kuwaita wadau ili tumtengeneze Ally Kiba sasa na nitahakikisha anafunguwa ID hapa kwa jina lake ili kujibu maswali ya wadau pale patakapokuwa na ulazima wa yeye kufanya hivyo. Yeye siyo wa level ya Instagram.

Kumbe kelele zote zile mpaka jasho la mkndu linakutoka ulikuwa unafukuzia dili ya Tshet za Ali Kiba?

Tukiwaambia hamna kazi ya kufanya mnatoa matusi, hivi mtu aliye bize na mambo yake atapata wapi muda wa kutembeza matishet ya Ali Kiba mitaani?

Njaa mbaya sana kumbe ule wivu kwa Naseeb ni kwa kuwa hajakukaribisha kwenye ufalme wake wa Wasafi.
 
Hahahahaha masaa 24 huyu jamaa yuko online jf lazima analipwa huyu siyo bure mkuu njaa mbaya
 
Na bora kuwaacha povu liwatoke wewe anatukana una mu ignore wengine wanakuja kupunguzia stress na kutafta amani tu

Ali kiba sio mwanamziki ni msindikizaji ameFanya mziki miaka kumi hana hata bajaji ya kichina........anatembea kwa miguu kutoka mbezi mpaka posta.
 
Na bora kuwaacha povu liwatoke wewe anatukana una mu ignore wengine wanakuja kupunguzia stress na kutafta amani tu

Yaani mimi kumpenda Ali Kiba imekua kosa watu wanaungua roho zaidi ya kiungulia...nawaona tu wanavyonitafuta mimi sina time tena ya kujibizana na watu....
Itakapobidi nitafanya hivyo....
 
Ali kiba sio mwanamziki ni msindikizaji ameFanya mziki miaka kumi hana hata bajaji ya kichina........anatembea kwa miguu kutoka mbezi mpaka posta.

Hata nyerere alikua anatembea kutoka butiama hadi mwisenge musoma,ally k posta mbona karibu tu.........haina logic hiyo
 
Back
Top Bottom