Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Waje wapi nimeshawasambaratisha wote....loh nawe umbea tu si ulikua inafuatilia ligi jamani???

Sasa nashikwa na midadi huku,ntaka niwe staring halafu wewe uwe mke wake kla anaepita mbele yetu tunampa double impact😀
 
Aiseee wewe mtu una akili sana,nadhani point yako imemaliza kila kitu nikiongezea nitaharibu
Mashabiki wa Kiba wote ni watu makini sana,wenye busara,adabu na wanaojielewa!Hawashabikii kimkumbo tu,wana maamuzi magumu na wapo firm,na hilo wamejifunza kutoka kwa Kiba mwenyewe,tena sio kwamba wanamchukia Diamond!Hapana ila wameamua kumshabiki kiba,kwani kinyume cha kumpenda Kiba ni kumchukia mwingine!!
 
Nimewahi kusema hapahapa kua lifestyle ya msanii in a reflect jinsi mashabiki wake walivyo...
 
Sasa nashikwa na midadi huku,ntaka niwe staring halafu wewe uwe mke wake kla anaepita mbele yetu tunampa double impact😀

Wewe unasemaje???niwe mke wa kila anayepita hapa?una wazimu wewe...nipotezee kama vipi na wewe ndio walewale
 
Mama mbona unasoma juu juu hebu rudia kusoma hiyoo duh utaniua leo,kila anaepita mbele yetu tunadeal nae,ngoja ninyamaze naona nshaangukia pua
 
Wewe unasemaje???niwe mke wa kila anayepita hapa?una wazimu wewe...nipotezee kama vipi na wewe ndio walewale
Hahaha yaaani me staring,wewe mke wa huyo staring,halafu kla anaepita tunampa double impact km ujaelewa hapo sasa nainua mikono nimeshindwa me🙁
 
Hahahaaaaa haya ngoja tuone,ole wako uende against makubaliano haya😛😛
 
mpo tu hahaha argrrrrrr domo,kiba chid na sembe. vipi? hawa wawili?
 
Back
Top Bottom