Ali Kiba Fans' Special Thread...


Wana taka kuuharibu uzi waache tume shauri anayeshaurika wao wabakie na chuki na wivu si wamuanzishie uzi wake
 

Kuna point gani hapo ya mimi kuelewa???Diamond anataka kushushwa na nani??Agenda hapa ni mpango mkakati wa sisi fans wa Kiba kuvaa tshirt yake ili kushow support kwake.....ina uhusiano gani na kushushwa kimuziki diamond.

Kwanini utumie nguvu nyingi kulazimisha kuwa sisi tuna chuki binafsi na Diamond??Wewe na fans wa Dai fanyeni yenu na sisi tufanye yetu.

Huwezi kunishawishi kumpenda Dai as kuna wasanii wengi tu wakuwapenda akiwepo Kiba na wengineo.
 
Ndo maana yake.....me ntatengeneza opener za Kiba,nikiwa napiga mambo yangu bar inakuwa poa kabisa.

Hahahaaaaa sikuwezi kwa kinywaji aiseee :beer::beer:

Nimeshamtumia Kiba msg kwenye network kadhaa nasubili response yake ili nifanye mawasiliano ya moja kwa moja.

Na hii ni changamoto pia anatakiwa kuwa na simu ya kikazi ambayo namba ziwe wazi kwa public hata kwenye social network na awe na simu yake binafsi na familia yake.
 
Ha ha wakuruka mie wale wote waliovurugwa fiesta ndo wame paniki hawaelewi chochote may be na wewe unaweza kuwa mmoja wao
Hahahah misinaga hizo mbona nasikiliza wimbo kwa mapenz binafsi so kuna nyimbo za dia nazikubali na kiba pia
 
Mimi nashangaa huu uzi kwa ajili ya fans wa Ali Kiba, nashangaa vitorondo nao wanauvamia.
 
Good Matola, T-shirt zikiwa tayar weka wazi mkuu kuna wadau wapo huku Lind na Mtwara wanazihitaj baada ya kuwaambia hili suala. Wanataman sana Kiba angekuwepo huku trh 26 fiestani.
 

eeeenh!.... mbona kama ya sitti mtemvu na umri wake wa masters!

diamond kamtoa kiba? duh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…