Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wiki ya pili sasa tangu jamaa zangu wazomewe, lakini hadi leo wenge la zomeo halijawatoka tu.
Ova

Umesikia Ali Kiba anavyopiga show huko mtwara?jana nasikia kapokelewa na msafara mkubwa wa magari na pikipiki...juzi pia alifanya show hukohuko mtwara
 
Umesikia Ali Kiba anavyopiga show huko mtwara?jana nasikia kapokelewa na msafara mkubwa wa magari na pikipiki...juzi pia alifanya show hukohuko mtwara

Nilisoma humu JF kama anakwenda Mtwara, ila haya yaliyojiri sikuwa nimeyapata wangu. Basi huko ilikuwa ni zaidi ya sikukuu. Walimpokea kwa kishindo Mfalme wetu, asikuambie mtu hakuna sehemu ngumu kukubalika kama Mtwara, lakini kama amefunika namna hiyo, waimba mnanda watafute kazi nyigine.
Ova
 
Hii habari bado sijaiamini...lakini ikiwa kweli nitafurahi sana

Ni kweli, kuna jamaa moja lina pesa ndo limechukua mzigo, ndiye aliyenunua ile BMW aliyojitia kapewa na Kadinda.
Jamaa alianza kupiga mzigo wakati Nassib akiwa kwenye show ya England ambayo ilibuma.
Kama unakumbuka Wema alienda kwenye show ya Yamoto Band na kutunza pesa nyingi.
Nasikia jamaa anakata hela hadi kwa mama Wema ndo maana anashabikiwa kweli.
Nimesikia Nassib anataka kurudi kwa Jokate. Tusubiri wakati utazungumza.
Ova
 
Nikisikia Jokate anammanulia tena Domo basi hata kipindi chake sintoangalia tena, Diamond level zake ni kina Lulu Masogange and likes, Pls Jokate usilete aibu tena kwa familia yako.
 
Nikisikia Jokate anammanulia tena Domo basi hata kipindi chake sintoangalia tena, Diamond level zake ni kina Lulu Masogange and likes, Pls Jokate usilete aibu tena kwa familia yako.
Eti kwajili gani huu uzi aujawa sticky?iz samsing rong samwea???
 
aiseeeeh
hadi huruma maskini
ila saaf
ukiwa bahili warembo utawaita shemeji tu
 
Aisee huu wimbo 'Kibiko yangu" umetulia sana,kila kituo unapigwa,nimehamisha station kama tano muda tofaut ndan ya dakika ishrin ushapigwa.....lool!Kiba ni mnoma....
 
Nikisikia Jokate anammanulia tena Domo basi hata kipindi chake sintoangalia tena, Diamond level zake ni kina Lulu Masogange and likes, Pls Jokate usilete aibu tena kwa familia yako.

Haha hahaaaaa mkuu naona unamzimikia sana mbebez wa ukweli Jokate.....
I can see u'r jealous...
 
Kwa sababu umeniambia wewe sasa naanza kuamini...
 
Aisee huu wimbo 'Kibiko yangu" umetulia sana,kila kituo unapigwa,nimehamisha station kama tano muda tofaut ndan ya dakika ishrin ushapigwa.....lool!Kiba ni mnoma....

Mimi hata sijausikia jamani....hadi najisikia aibu kusema....nilijaribu kuudownload mkito ukagoma
 
Haha hahaaaaa mkuu naona unamzimikia sana mbebez wa ukweli Jokate.....
I can see u'r jealous...

Kiukweli kila mwanamke ana value yake ni shida mwanamke ukishindwa kuijuwa thamani yako, na hapa simaanishi pesa hata Family background zinamata.

Haiwezekani unatoka kwenye familia bora yenye maadili na wacha Mungu halafu unadate na vibaka kama Diamond ni aibu kwa familia hivi vipesa mbuzi visiharibu reputation za familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…