Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 192
we hujitambuihujielewi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we hujitambuihujielewi wewe
Wiki ya pili sasa tangu jamaa zangu wazomewe, lakini hadi leo wenge la zomeo halijawatoka tu.
Ova
Umesikia Ali Kiba anavyopiga show huko mtwara?jana nasikia kapokelewa na msafara mkubwa wa magari na pikipiki...juzi pia alifanya show hukohuko mtwara
Wiki ya pili sasa tangu jamaa zangu wazomewe, lakini hadi leo wenge la zomeo halijawatoka tu.
Ova
haliwezi kuwaisha mapema kirahisi hivyo
wanapagawa hao
haliwezi kuwaisha mapema kirahisi hivyo
wanapagawa hao
Hahahaaaa huwa unaniacha hoi sana.
Ova
Wanajambajamba tu na domo wao kapigwa chini na Wema.

Hii habari bado sijaiamini...lakini ikiwa kweli nitafurahi sana
Ni kweli, kuna jamaa moja lina pesa ndo limechukua mzigo, ndiye aliyenunua ile BMW aliyojitia kapewa na Kadinda.
Jamaa alianza kupiga mzigo wakati Nassib akiwa kwenye show ya England ambayo ilibuma.
Kama unakumbuka Wema alienda kwenye show ya Yamoto Band na kutunza pesa nyingi.
Nasikia jamaa anakata hela hadi kwa mama Wema ndo maana anashabikiwa kweli.
Nimesikia Nassib anataka kurudi kwa Jokate. Tusubiri wakati utazungumza.
Ova
Eti kwajili gani huu uzi aujawa sticky?iz samsing rong samwea???Nikisikia Jokate anammanulia tena Domo basi hata kipindi chake sintoangalia tena, Diamond level zake ni kina Lulu Masogange and likes, Pls Jokate usilete aibu tena kwa familia yako.
Ni kweli, kuna jamaa moja lina pesa ndo limechukua mzigo, ndiye aliyenunua ile BMW aliyojitia kapewa na Kadinda.
Jamaa alianza kupiga mzigo wakati Nassib akiwa kwenye show ya England ambayo ilibuma.
Kama unakumbuka Wema alienda kwenye show ya Yamoto Band na kutunza pesa nyingi.
Nasikia jamaa anakata hela hadi kwa mama Wema ndo maana anashabikiwa kweli.
Nimesikia Nassib anataka kurudi kwa Jokate. Tusubiri wakati utazungumza.
Ova
Hatareee sanaWanajambajamba tu na domo wao kapigwa chini na Wema.
Eti kwajili gani huu uzi aujawa sticky?iz samsing rong samwea???
Nikisikia Jokate anammanulia tena Domo basi hata kipindi chake sintoangalia tena, Diamond level zake ni kina Lulu Masogange and likes, Pls Jokate usilete aibu tena kwa familia yako.
Ni kweli, kuna jamaa moja lina pesa ndo limechukua mzigo, ndiye aliyenunua ile BMW aliyojitia kapewa na Kadinda.
Jamaa alianza kupiga mzigo wakati Nassib akiwa kwenye show ya England ambayo ilibuma.
Kama unakumbuka Wema alienda kwenye show ya Yamoto Band na kutunza pesa nyingi.
Nasikia jamaa anakata hela hadi kwa mama Wema ndo maana anashabikiwa kweli.
Nimesikia Nassib anataka kurudi kwa Jokate. Tusubiri wakati utazungumza.
Ova
Aisee huu wimbo 'Kibiko yangu" umetulia sana,kila kituo unapigwa,nimehamisha station kama tano muda tofaut ndan ya dakika ishrin ushapigwa.....lool!Kiba ni mnoma....
Haha hahaaaaa mkuu naona unamzimikia sana mbebez wa ukweli Jokate.....
I can see u'r jealous...