Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #1,121
Umewahi kumueleza Kiba kinachoendelea huku?naamini wewe ni mtu wake wa karibu....
Sasa shuzi limepata mjambaji, subirini kifuatacho ITV........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kumueleza Kiba kinachoendelea huku?naamini wewe ni mtu wake wa karibu....
Sasa shuzi limepata mjambaji, subirini kifuatacho ITV........
Kuna personal project namalizia Brela wametukalia shingoni ni mwendo wa kubalansisha maisha social activies na kazi.
Nimekusoma!!Aisee kuna watu roho zinataka kuwatoka,wanaishiwa hewa,ni kama wamepigwa na kisulisuli,yani kulia wanataka kucheka wanataka sura imebaki kama muhindi alotapeliwa...ooh Kiba rocks!...
Kamwambie Kiba tunamkubali sana,u knw tunampenda mpaka tunaumwa!!Akaze butiiiii,apige jarambaa,abadilikee,tupo pamoja miaka mianane!!
Kamwambie Kiba tunamkubali sana,u knw tunampenda mpaka tunaumwa!!Akaze butiiiii,apige jarambaa,abadilikee,tupo pamoja miaka mianane!!
Hahahahaaaaah uwiiiii leo nacheka tu jamani...nilishasema Kiba atawatoa watu roho mwaka huu jamani....na huu ni mwanzo tu video ikitoka je?lazima tuwakalishe you tube kwa wingi wa viewers
Yani hiyo number imeniletea jariiibu,maana naweza kuirushia balance yangu yoteee!!Isije ikaleta mtetemo wa moyo kwa mgita wangu lol.
Nimekusoma!!Aisee kuna watu roho zinataka kuwatoka,wanaishiwa hewa,ni kama wamepigwa na kisulisuli,yani kulia wanataka kucheka wanataka sura imebaki kama muhindi alotapeliwa...ooh Kiba rocks!...
Yani hiyo number imeniletea jariiibu,maana naweza kuirushia balance yangu yoteee!!Isije ikaleta mtetemo wa moyo kwa mgita wangu lol.
mie tenaaaaaaaaaaasss
kiba km unasoma hapa mi penda sana veve
unakumbuka unanianda ulioimba na kwin darleen
salama unakumbuka alikomment nini kwenye planet bongo basss mi shabiki wako wa long mnoo
je naksh naksh naksh mrembo salama alisema nini tena?!!!$
Yani hiyo number imeniletea jariiibu,maana naweza kuirushia balance yangu yoteee!!Isije ikaleta mtetemo wa moyo kwa mgita wangu lol.
Hapana chezeya Kiba kwa kweli... 'Msinishangaaaee!msinishangaeee!msinishangae kama nampenda Kiba msinishangae!'hahshaaaaaa
hapans chezea watoto wa mujini!!
Salama sometimes ni mnafiki tu...sijui aliwahi kuomba dyudyu akanyimwa na Kiba....maana haishi kumsifia...."Kiba bado handsome ujue"....
Hapana chezeya Kiba kwa kweli... 'Msinishangaaaee!msinishangaeee!msinishangae kama nampenda Kiba msinishangae!'
hahaassaas
salama kiba na blu anawapenda
nlicheka kweli kwenye unanianda alimwambia "dogo acha uchafu"ila boksa ya njano inaonekana
kwenye nakshi mrembo kasema"mdogo wangu umenikosha umekua msafi siku hizi"
enzi hizo huko mbwinde ht star times hamna
hapo chacha
valentine yenye heshima mi na we tulikua wote dunia nzima
km unanipenda hakika mimi utanilindaaa
bas kwangu naksh naksh mrembo...!!
nishike bega tuucheze huu wimbo ...hayo ma actions na mavitendo mida ikifika tufanye mambo ooooh
nakshi nakshi mrembo ulowatosa matoz na vigogo
na kuja kwangu ukawapa visogo......