Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kuna personal project namalizia Brela wametukalia shingoni ni mwendo wa kubalansisha maisha social activies na kazi.

Nimekusoma!!Aisee kuna watu roho zinataka kuwatoka,wanaishiwa hewa,ni kama wamepigwa na kisulisuli,yani kulia wanataka kucheka wanataka sura imebaki kama muhindi alotapeliwa...ooh Kiba rocks!...
 
Hahahahaaaaah uwiiiii leo nacheka tu jamani...nilishasema Kiba atawatoa watu roho mwaka huu jamani....na huu ni mwanzo tu video ikitoka je?lazima tuwakalishe you tube kwa wingi wa viewers
 
Yani hiyo number imeniletea jariiibu,maana naweza kuirushia balance yangu yoteee!!Isije ikaleta mtetemo wa moyo kwa mgita wangu lol.
 
Hahahaaaaah mimi ndio maana nimeiacha tu jamani....
😀😀😀 angalia mgita asilete noma shga angu
 
Nimekusoma!!Aisee kuna watu roho zinataka kuwatoka,wanaishiwa hewa,ni kama wamepigwa na kisulisuli,yani kulia wanataka kucheka wanataka sura imebaki kama muhindi alotapeliwa...ooh Kiba rocks!...

hahaaaasss
heheheeeiyyyyyyyyaaaa
kiba kiba kibaaasa
msinisemeeeeee msinisemeeee msiniseemee km napenda kula...!!!!
watuu weeeeeeee
watu hahaaaass
mbuzi meeeeeee
 
Yani hiyo number imeniletea jariiibu,maana naweza kuirushia balance yangu yoteee!!Isije ikaleta mtetemo wa moyo kwa mgita wangu lol.

mie tenaaaaaaaaaaasss
kiba km unasoma hapa mi penda sana veve
unakumbuka unanianda ulioimba na kwin darleen
salama unakumbuka alikomment nini kwenye planet bongo basss mi shabiki wako wa long mnoo
je naksh naksh naksh mrembo salama alisema nini tena?!!!$
 
Salama sometimes ni mnafiki tu...sijui aliwahi kuomba dyudyu akanyimwa na Kiba....maana haishi kumsifia...."Kiba bado handsome ujue"....
 
hahaassaas
salama kiba na blu anawapenda
nlicheka kweli kwenye unanianda alimwambia "dogo acha uchafu"ila boksa ya njano inaonekana
kwenye nakshi mrembo kasema"mdogo wangu umenikosha umekua msafi siku hizi"
enzi hizo huko mbwinde ht star times hamna
 
Hapana chezeya Kiba kwa kweli... 'Msinishangaaaee!msinishangaeee!msinishangae kama nampenda Kiba msinishangae!'

hapo chacha
valentine yenye heshima mi na we tulikua wote dunia nzima
km unanipenda hakika mimi utanilindaaa
bas kwangu naksh naksh mrembo...!!
 
hahaassaas
salama kiba na blu anawapenda
nlicheka kweli kwenye unanianda alimwambia "dogo acha uchafu"ila boksa ya njano inaonekana
kwenye nakshi mrembo kasema"mdogo wangu umenikosha umekua msafi siku hizi"
enzi hizo huko mbwinde ht star times hamna

Si ndo enzi zile za planet bongo ya salama?ilikuwaga sheedah mazeee...dula hamna kitu
 
hapo chacha
valentine yenye heshima mi na we tulikua wote dunia nzima
km unanipenda hakika mimi utanilindaaa
bas kwangu naksh naksh mrembo...!!

Nishike bega tuucheze huu wimbo ...hayo ma actions na mavitendo mida ikifika tufanye mambo ooooh
Nakshi nakshi mrembo ulowatosa matoz na vigogo
Na kuja kwangu ukawapa visogo......
 
nishike bega tuucheze huu wimbo ...hayo ma actions na mavitendo mida ikifika tufanye mambo ooooh
nakshi nakshi mrembo ulowatosa matoz na vigogo
na kuja kwangu ukawapa visogo......

ukawaona hawana mpango na kusema
hupendi kuniona naliaa
hupendi kuniona natesekaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…