Sina Team hapa!
Diamond ni msanii lakini Ally Kiba ni Mwanamziki!Nawapenda wote
Unaelewa tofauti ya MSANII na MWANAMZIKI?Natarajia positive advise from me but be ready to accept challenges....Hahahaaaa mbona umeanza kujihami....karibu ondoa shaka kabisa,ukileta ushauri mzuri tunaupokea lakini ukizingua......
Sina Team hapa!
Diamond ni msanii lakini Ally Kiba ni Mwanamziki!Nawapenda wote
Yap!Nawapenda wote kila mtu kwa nafasi yake.....kidogo Ally Kiba Video zake huwa hafanyi manjonjo mengi may be coz 'anajiuza' compared to Diamond rais wa wasafi!and that is how it is
come january come december...!!!
Yap!Nawapenda wote kila mtu kwa nafasi yake.....kidogo Ally Kiba Video zake huwa hafanyi manjonjo mengi may be coz 'anajiuza' compared to Diamond rais wa wasafi!
One thing Ally kiba needs to improve Live show concert....Vocalists yuko poa no needs mchina!Diamond yuko vizur sana kwa show za live!
Unaelewa tofauti ya MSANII na MWANAMZIKI?Natarajia positive advise from me but be ready to accept challenges....
Yap!Nawapenda wote kila mtu kwa nafasi yake.....kidogo Ally Kiba Video zake huwa hafanyi manjonjo mengi may be coz 'anajiuza' compared to Diamond rais wa wasafi!
One thing Ally kiba needs to improve Live show concert....Vocalists yuko poa no needs mchina!Diamond yuko vizur sana kwa show za live!
Hapo umenena mkuu!camooon guys, hebu tusipoteze maudhui ya uzi jamani, wewe km ni shabiki wa kiba toa ushauri wa kujenga hata km unamshabikia msanii mwingine.
haisaidii kuanza kuchambana na kujengeana chuki ambayo yawezekana hata wahusika hawana.
penye ukweli sema ukweli na toa ushauri nn afanye co unaponda tuu, hawa ni wasanii wetu wote na tunatakiwa tuwape sapport ili wafanye vizuri zaidi, so haisaidii kuwa na chuki binafsi nao ilihali yawezekana hata hawatufahamu.
hebu tuwe watu wa kujenga na sio kubomoa tu
Mwambieni mashabiki wake tupo wengi san huku mtaani..... tunahitaji aitendee haki entrance fees ya kuangalia show zakeNi kweli,this time inabidi abadilike afanye mziki kama kazi asitegemee kipaji tu bali ubunifu pia
Mwambieni mashabiki wake tupo wengi san huku mtaani..... tunahitaji aitendee haki entrance fees ya kuangalia show zakeyes kwenye show ni kweli anapaswa abadilike sana mi nshsenda concerts km mbili za kiba mda kidogo ila ilikua kawaida japo moja alikua na madensa km sikosei ila ajitahidi sana
Hapo umenena mkuu!
Ushauri wangu Ally Kiba aongeze bidii katika kutawala jukwaa ili hadhira ishangweke!Pia video productions zake huwa haziendani na hadhi yake ofcourse ni mwanamziki bora bongo flavour wa kipindi chote so anatakiwa na video zake ziendane na ubora wake!
Ally Kiba nadhani una note huu ushauri somewhere wenzio isije ikawa tunatwanga maji kwenye kinu!!Amka Amka acha kuvaa nguo za kwendea matembezini stejini,engge active dancers wanaojua chereography hata kwa kuwa trained,toa nyimbo kwa wakati pia uwe tayari kuingia gharama za video zenye quality...alafu ivi kwani huwazi kufanya collabo na watu wa nje!!kuiga mazuri ni jambo jema.Nimeshari kwa mara ya kumi!na sitachoka mpaka ubadilike