Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mkuu Matola pengine ili kuboresha huu uzi ungekuwa unaweka Updates hapo Kwa mfano kama kuna show flani Alikiba anafanya au Events au hata akitoa nyimbo mpya hii itawawezesha mashabiki wake kujua yupo wapi na anafanya nini
 
Last edited by a moderator:

Ulichosema ni sahihi kabisa,pia kama atakuwepo mtu mwingine mwenye constructive And creative idea juu ya kuboresha uzi ingesaidia
 
Last edited by a moderator:
Uzee mwisho Chalinze mjini wote honeeey, labda ungenieleza tatizo liko wapi mimi kujimwaga hapa na mashabiki wa Kiba pamoja?

Ha ha ha!Hata kama Matola ana mvi kama Lowassa ndo asiwe shabiki wa Kiba?unaacha kumshangaa babu wa mababuzi unamshangaa Matola,yani ukishakuwa shabiki wa Kiba unakuwa mbebizi wa ukweeli yani super young forever!
 
Hahahaaaa mashabiki wa Kiba wote ni wabebez wa ukweli u know...alafu watoto wa mjini sio hayo mamburulaz yako vijijini huko yanawasikiliza wenzao wa kwa mtogole basi nao wanajisikiiiiia....njooni kwanza mjini wajinga nyie...
 
Mkuu Matola pengine ili kuboresha huu uzi ungekuwa unaweka Updates hapo Kwa mfano kama kuna show flani Alikiba anafanya au Events au hata akitoa nyimbo mpya hii itawawezesha mashabiki wake kujua yupo wapi na anafanya nini

Safi sana,wewe ni GT wa ukweli u know...hop our Matola kalisikia na atalifanyia kazi...
 
Last edited by a moderator:
Uzee mwisho Chalinze mjini wote honeeey, labda ungenieleza tatizo liko wapi mimi kujimwaga hapa na mashabiki wa Kiba pamoja?

Hahahaaaa huyo kazimika na swagz zako akataka ajue umri ili ajipendekeze.....watu wanatafuta fursa mjini hapa....
 
umeona fursa hamna kitu kingine.... u aint that loyal....

Tuliza boli son, nyinyi kila kitu mnawaza fursa tu, kama ni swala la fursa tayari ninazo.

Binadamu tumewazoea wewe ndio walewale ukinipiga umenionea na ukiniacha umeniogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…