Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni dhambi kuchangamkia fursa?!nawewe katafute fursa kama unadhan ni rahisi ivoumeona fursa hamna kitu kingine.... u aint that loyal....
Mkuu Matola pengine ili kuboresha huu uzi ungekuwa unaweka Updates hapo Kwa mfano kama kuna show flani Alikiba anafanya au Events au hata akitoa nyimbo mpya hii itawawezesha mashabiki wake kujua yupo wapi na anafanya nini
Uzee mwisho Chalinze mjini wote honeeey, labda ungenieleza tatizo liko wapi mimi kujimwaga hapa na mashabiki wa Kiba pamoja?
Ha ha ha!Hata kama Matola ana mvi kama Lowassa ndo asiwe shabiki wa Kiba?unaacha kumshangaa babu wa mababuzi unamshangaa Matola,yani ukishakuwa shabiki wa Kiba unakuwa mbebizi wa ukweeli yani super young forever!
Mkuu Matola pengine ili kuboresha huu uzi ungekuwa unaweka Updates hapo Kwa mfano kama kuna show flani Alikiba anafanya au Events au hata akitoa nyimbo mpya hii itawawezesha mashabiki wake kujua yupo wapi na anafanya nini
Uzee mwisho Chalinze mjini wote honeeey, labda ungenieleza tatizo liko wapi mimi kujimwaga hapa na mashabiki wa Kiba pamoja?
Matola usijishushie tena hadhi yako kule mtaa wa pili,yani kuonekana kwako kule ni credit tosha kwa wazee wa kuiga...
ngoja nlale leo geezy mabovu niemeona ig amekufa
umeona fursa hamna kitu kingine.... u aint that loyal....
asantrrreeeee
Wewe si upo dom au?
nipo dom mine ila nnalea ngosha lazma amind
nipo dom mine ila nnalea ngosha lazma amind
Wewe nae mbona hakuniambiaga kama upo dom maana mie nimetoka huko leo si ningekuja na mie kulea?
Hahahaaa,mimi nikisikia hivyo natamani mtori tu...uwiiiiii