Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kuwa na fursa haina maana utaacha kutafuta fursa nyingine.....unafikiri hao wanaopiga escrow na zamani epa hawakuwa na fursa before....
wapi nimesema dhambi?? Nimetoa maoni yangu....kaona fursa anaichangamkia, he aint that loyal.
washazoea maisha ya locationNaona watu toka wazomewe wameamua yeye na mwandani wake watengeneze skendo ili impaishe tena.
Umemaliza mawaidha yako?
Haya kafie mchamba wima!!
Umemaliza mawaidha yako?
Haya kafie mchamba wima!!
Naona watu toka wazomewe wameamua yeye na mwandani wake watengeneze skendo ili impaishe tena.
i miss you guys jamani tigo wamenipa homa leo....watu wanajiuliza huyu dada anaumwa au kapatwa na msiba kumbe nawaza jf
hahahahaaaaaaaa
tigo wamekufanzaje tena...?!!
nilichogundua mtunga uzi yupo kibiashara zaidi na si mapenzi ya kweli AK, WATU WANTUKANANA KUSONYANA KUMBE LENGO TOFAUTI KABISA
shoga acha tu walichonifanyia net ilikua haipandi,text wala simu hazitoki hadi jioni hii...kama sijafa leo bhaaaasi
nilichogundua mtunga uzi yupo kibiashara zaidi na si mapenzi ya kweli AK, WATU WANTUKANANA KUSONYANA KUMBE LENGO TOFAUTI KABISA
hahahaaaaaa
watu mna maneno jamani
ndio kwenu?? eff off!
Hahahaaaa kuna siku ulinivunja mbavu sitokaa nisahau