ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Mwana inarindima kwenye BBA wakati huu. Housemate wote wanapiga mduara. Kiba kaeleweka hadi kwa wasiojua Kiswahili.
Ova
kweli mkuu?Mwana inarindima kwenye BBA wakati huu. Housemate wote wanapiga mduara. Kiba kaeleweka hadi kwa wasiojua Kiswahili.
Ova
Mkuu mbona ahadi yako haijatimia?I mean Ally Kiba kuwa na account hapa JF!Wana wivu hao honey. Wasage chupa wabwie washushie na jik na kiroba original.
Mkuu mbona ahadi yako haijatimia?I mean Ally Kiba kuwa na account hapa JF!
Kuna maswali nahtaji kumuuliza.....pia kumpa ushauri!
Kiba yupo kwenye ziara kama Rais, jana alifanya show Dodoma kwa habari zaidi waulize wabunge waliohudhuria.
Umeona eeh!Uko nje ya swali.. ningekua mwalim ningekupa kosa kubwa saaaana
Umeona eeh!
Hiyo ndo BRN....ha ha ha ha ha!
Nimeshangaa mpwa Matola kajibu kitu kingine wakati swali lilikua jingine kabisaa
Mkuu heshima kwako,show ilifanyika wapi na kwa kutumia ID ipi?Wabunge nao walitumia Verified User au Fake ID?Kiba yupo kwenye ziara kama Rais, jana alifanya show Dodoma kwa habari zaidi waulize wabunge waliohudhuria.
Maana yake hata mimi nikiwa busy sana na matrip ya mikoani huwa sina muda na social networks, mazuri hayataki haraka hata kule jukwaa la siasa tulitumia muda kuwashawishi wanasiasa wawe wanakuja kujibu hoja.
OK!Thanks for your clarification.....usichoke kumshawishi coz we need to advice and challenge him!Maana yake hata mimi nikiwa busy sana na matrip ya mikoani huwa sina muda na social networks, mazuri hayataki haraka hata kule jukwaa la siasa tulitumia muda kuwashawishi wanasiasa wawe wanakuja kujibu hoja.
Haaaaa mpwa bana...
OK!Thanks for your clarification.....usichoke kumshawishi coz we need to advice and challenge him!
Labda tu bila unafki wala kumuonea mtu aya kwa sababu mimi si muumini wa Unafki Kiba ana weakeness kubwa sana ya Communication kama kawaida wasanii wetu shule ndogo nayo inawacost sana, mimi nilishangaa yeye kuniadd Facebook wakati hilo halikuwa lengo la kuwasiliana naye.
Akirudi Dar nitaonana naye ana kwa ana na nitamueleza kinagaubaga udhaifu wake huu na kumkaribisha JF.
Diamond eneo hili la PR amelitumia vyema na ukiongeza uwepo wa Wema walifanikiwa kuteka attention.
Si jambo la ajabu kukuta watoto wengi wanaochipukia wakawa ni wapenzi wa Wema na Diamond kwa sababu ndio wamekuwa wakiwasoma kwenye magazeti ya udaku na wengine wapo tayari kusikia baba na mama zao wanaachana lakini siyo Wema na Diamond.

King wetu🏃🏃🏃🏃🏃👉💟💟💟💟💟
Jamani...Le Tamkozz Limewaumiza mtaa wa pili wanaishia kuqoete na kucopy thread,ndiyo kwenye uzi wao hatuendiiii,kwani lazima!!kama walianzisha uzi kumdiscuss Kiba hapo sawa,wanaishia kutokwa povu tuu...nyoooo!
Awwwww jamani ahsante....picha tam sana hii...lazima nijipatie nakala yangu within this week...vipi naweza kusoma online?
OK!Thanks for your clarification.....usichoke kumshawishi coz we need to advice and challenge him!