Naamini Wote Tunakubaliana Kua Kiba Anajua Sana.He Is Talented, Vocalist, Melodist, Perfomer, A Very Big Artist.Lkn Je Tumeshawahi Kujiuliza "Kwanini Kiba Hasimami Katika Level Zake Anazostahili?".Tatizo Ni Nini?.Ni Nani Mchawi Wa Kiba?.Naamini Mchawi Wa Kiba Ndie Adui Yetu No.1 Sisi Fans Wake.
Huku Mtaani Sshv Hakukaliki Ni Kelele Mtindo Mmoja.Kwny Social Media Ndo Husiseme Fujo Tupu.Inabidi Tufikie Wakati Tuseme Sasa "Enough Is Enough".Tumechoka Na Hizi Nonsense Noises.
Nawaomba Kila Mmoja Wetu Asimame Kwenye Nafasi Yake Ili Tumjue Adui Yetu Ni Nani.Je Ni Promoter?.AuRadio Presenter?.Au Radio Stations Au Ni Nani Hasa Mchawi Wetu? Hatuwezi Kukaa Na Kuuchekea Upuuzi Kama Huu Never Again!
Huyu Mkata Viuno Wa Africa Na Group Lake La Mamburulaz Iwe Mwaka Wao Wa Mwisho Wa Kutusumbua.Tunataka King Asimame Kama Mfalme Na Ngedere Wote Tufungie Bandani.
Nawaombeni Tushauriane Hapa Na Tupange Mikakati Endelevu Ili "King Abakie Kua King"
Note: This Thread Is Special For KingKiba Fans.If You Aren't Plz Keep Quet!