Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Naamini Wote Tunakubaliana Kua Kiba Anajua Sana.He Is Talented, Vocalist, Melodist, Perfomer, A Very Big Artist.Lkn Je Tumeshawahi Kujiuliza "Kwanini Kiba Hasimami Katika Level Zake Anazostahili?".Tatizo Ni Nini?.Ni Nani Mchawi Wa Kiba?.Naamini Mchawi Wa Kiba Ndie Adui Yetu No.1 Sisi Fans Wake.

Huku Mtaani Sshv Hakukaliki Ni Kelele Mtindo Mmoja.Kwny Social Media Ndo Husiseme Fujo Tupu.Inabidi Tufikie Wakati Tuseme Sasa "Enough Is Enough".Tumechoka Na Hizi Nonsense Noises.

Nawaomba Kila Mmoja Wetu Asimame Kwenye Nafasi Yake Ili Tumjue Adui Yetu Ni Nani.Je Ni Promoter?.AuRadio Presenter?.Au Radio Stations Au Ni Nani Hasa Mchawi Wetu? Hatuwezi Kukaa Na Kuuchekea Upuuzi Kama Huu Never Again!

Huyu Mkata Viuno Wa Africa Na Group Lake La Mamburulaz Iwe Mwaka Wao Wa Mwisho Wa Kutusumbua.Tunataka King Asimame Kama Mfalme Na Ngedere Wote Tufungie Bandani.

Nawaombeni Tushauriane Hapa Na Tupange Mikakati Endelevu Ili "King Abakie Kua King"

Note: This Thread Is Special For KingKiba Fans.If You Aren't Plz Keep Quet!
 
Oyaaa c ulisema utatembea uchi post mond akichukua tuzo lini sasa mkuu
Wewe nae hebu tutokee hapa.Alisema alisema, kaandike bango au umchoree katuni kama yule mwenzio aliyemchorea cute b.
 
Last edited by a moderator:
Wewe nae hebu tutokee hapa.Alisema alisema, kaandike bango au umchoree katuni kama yule mwenzio aliyemchorea cute b.

Alisema kiukweli n ahadi n Deni walinenega zamani
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1437418663875.jpg
    1437418663875.jpg
    40.7 KB · Views: 296
mkitaka kumjadili nenden kwenye thread yake au fan page yake ya insta ila huku ulipoingia sipo? kwan na nyie c mmepata tunzo zenu za ktma c mkapge nazo kelele hzo embu mtutollee upuuz wenu wa kiba kiba all tha time tushachoka sasa kila siku anaoneka yeye tu ndio anaonewa aache kusubir watu wamfate aanze kujiongeza!!
 
Nimeshapiga kura zangu 167 na bado barudi tena, teamKiba tumecharuka tupo kazini, nyie endeleen na majungu yenu. Mtaelewa tu
 
Back
Top Bottom