Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mond bin laden akikosa sana anabebaga 3.
Huyo kiba kuli sijui kama atakamata jet...
Mtanyooka tu mwaka huu
 
Naamini Wote Tunakubaliana Kua Kiba Anajua Sana.He Is Talented, Vocalist, Melodist, Perfomer, A Very Big Artist.Lkn Je Tumeshawahi Kujiuliza "Kwanini Kiba Hasimami Katika Level Zake Anazostahili?".Tatizo Ni Nini?.Ni Nani Mchawi Wa Kiba?.Naamini Mchawi Wa Kiba Ndie Adui Yetu No.1 Sisi Fans Wake.

Huku Mtaani Sshv Hakukaliki Ni Kelele Mtindo Mmoja.Kwny Social Media Ndo Husiseme Fujo Tupu.Inabidi Tufikie Wakati Tuseme Sasa "Enough Is Enough".Tumechoka Na Hizi Nonsense Noises.

Nawaomba Kila Mmoja Wetu Asimame Kwenye Nafasi Yake Ili Tumjue Adui Yetu Ni Nani.Je Ni Promoter?.AuRadio Presenter?.Au Radio Stations Au Ni Nani Hasa Mchawi Wetu? Hatuwezi Kukaa Na Kuuchekea Upuuzi Kama Huu Never Again!

Huyu Mkata Viuno Wa Africa Na Group Lake La Mamburulaz Iwe Mwaka Wao Wa Mwisho Wa Kutusumbua.Tunataka King Asimame Kama Mfalme Na Ngedere Wote Tufungie Bandani.

Nawaombeni Tushauriane Hapa Na Tupange Mikakati Endelevu Ili "King Abakie Kua King"

Note: This Thread Is Special For KingKiba Fans.If You Aren't Plz Keep Quet!
Alikiba na Magement yake ndio tatizo! Alikiba ni mvivu halafu ana management mbovu ambayo haiendani na jina lake na kipaji chake!

Alikiba anatakiwa kubadilisha management kabisa na hili swala tulisha shauri sana....! Alikiba anapata support kubwa ya media +mashabiki lakini ukweli ni kwamba ana management ambayo imelishindwa kabisa soko la muziki sio la nchini au la nje ya nchi!
 
Alikiba na Magement yake ndio tatizo! Alikiba ni mvivu halafu ana management mbovu ambayo haiendani na jina lake na kipaji chake!

Alikiba anatakiwa kubadilisha management kabisa na hili swala tulisha shauri sana....! Alikiba anapata support kubwa ya media +mashabiki lakini ukweli ni kwamba ana management ambayo imelishindwa kabisa soko la muziki sio la nchini au la nje ya nchi!

Sawa Mkuu Ushauri Wako Uliotoa Ni Wa Maana Sana.Naamin King Uko Aliko Anaisoma Thread Hii.Atayafanyia Kazi Yote Uliyoyatupia Humu
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KakaSketi]#KakaSketi [/URL] naona vichambo vimemzidia hadi kakimbia...
Hahaha alikua anajifaragua hapa na aje tena basi.
Mwenzangu jana nilishangaa kuona anamuambia mwanaume mwenzie kam miss, maana tokea mwanzo nilikua namuona #KishetiChaMombasa ila nikawa sina uhakika.
Jana baada ya kuona vile ndio nikathibisha kua ni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KakaSketi]#KakaSketi [/URL] kweli!
#KakaSketi lazma akimbie tu bila kupenda hapa hana ujanja na hivi Kiba kawa nominated sasa hivi wanaumia na kina babu tale na watamaliza waganga wote nakwambia. Ndo hvo kiba kawa nominated bila kubebwa.
 
Hilo sio la kuuliza, sisi ndio wakali wa hizi kazi.
Tunasubiri watangaze lini tutaanza kupiga kura rasmi.
Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.
 
Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.
Wameshaanza kulia lia ooh kapata nomination moja, wamesahau King karudi majuzi tu na balaa lote hili linatokana na ngoma zake 2 tu tofauti na huyo ndomo anayefyatua mpya kila uchwao.
#KishetiChaMombasa vichambo vimemkolea hana jinsi imebidi akimbie tu.
 
Management ya kiba naona ndo tatizo sidhani kama wanahangaika ktk kuteka soko la nje na pia kiba anatakiwa aishi kistaa, awe mbunifu, abadil style inapobid kwan mziki biashara sio kubak style ile ile sio makumbusho lazima a change kusaka soko, management yake iwe na kiu ya kwenda mbele zaid sio kiu tu bal tuone utendaj wa hyo management, alaf kwa mashabiki hizi team znaua mziki, tunatakiwa kusapot wasanii wote ila wasanii wanaosapotiwa wasilete nyodo washukur mashabik woote sio kuleta vijembe sijui na vishoka sio vizur, mziki ni wetu, wasanii ni wetu, nchi ni ya kwetu, tusapoti vya kwetu.
 
Mkuu ukitaka thread iende vizuri achana na hizi lugha usitegemee kusikia uchokipenda tuu kuwa mvumilivu....

Mkuu Nimekusoma.Ila Binadamu Wengine Wanatia Hasira Sana.Anakuta Bando Limeandikwa Kabisa "Husikae Hapa Amri".Lakini Unamkuta Hapo Hapo Na Yeye Kaweka Makalio Yake.Sasa Sijui Tatizo Ni Ujinga Au Ukilaza.
 
Back
Top Bottom