meshack eddy
Member
- Jan 9, 2015
- 66
- 26
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshapiga kura zangu 167 na bado barudi tena, teamKiba tumecharuka tupo kazini, nyie endeleen na majungu yenu. Mtaelewa tu
how to VOTE[color]
Hilo sio la kuuliza, sisi ndio wakali wa hizi kazi.
Tunasubiri watangaze lini tutaanza kupiga kura rasmi.
Alikiba na Magement yake ndio tatizo! Alikiba ni mvivu halafu ana management mbovu ambayo haiendani na jina lake na kipaji chake!Naamini Wote Tunakubaliana Kua Kiba Anajua Sana.He Is Talented, Vocalist, Melodist, Perfomer, A Very Big Artist.Lkn Je Tumeshawahi Kujiuliza "Kwanini Kiba Hasimami Katika Level Zake Anazostahili?".Tatizo Ni Nini?.Ni Nani Mchawi Wa Kiba?.Naamini Mchawi Wa Kiba Ndie Adui Yetu No.1 Sisi Fans Wake.
Huku Mtaani Sshv Hakukaliki Ni Kelele Mtindo Mmoja.Kwny Social Media Ndo Husiseme Fujo Tupu.Inabidi Tufikie Wakati Tuseme Sasa "Enough Is Enough".Tumechoka Na Hizi Nonsense Noises.
Nawaomba Kila Mmoja Wetu Asimame Kwenye Nafasi Yake Ili Tumjue Adui Yetu Ni Nani.Je Ni Promoter?.AuRadio Presenter?.Au Radio Stations Au Ni Nani Hasa Mchawi Wetu? Hatuwezi Kukaa Na Kuuchekea Upuuzi Kama Huu Never Again!
Huyu Mkata Viuno Wa Africa Na Group Lake La Mamburulaz Iwe Mwaka Wao Wa Mwisho Wa Kutusumbua.Tunataka King Asimame Kama Mfalme Na Ngedere Wote Tufungie Bandani.
Nawaombeni Tushauriane Hapa Na Tupange Mikakati Endelevu Ili "King Abakie Kua King"
Note: This Thread Is Special For KingKiba Fans.If You Aren't Plz Keep Quet!
Hebu tuwekeeni hiyo link bwana...Kura mbona zishaanza kupigwa
Mimi tayari ,ww unasubiri nani akutangazie
Abou How To Vote Men We Need To Make It Right Now
Hebu tuwekeeni hiyo link bwana...
Nitajuaje sasa?
Alikiba na Magement yake ndio tatizo! Alikiba ni mvivu halafu ana management mbovu ambayo haiendani na jina lake na kipaji chake!
Alikiba anatakiwa kubadilisha management kabisa na hili swala tulisha shauri sana....! Alikiba anapata support kubwa ya media +mashabiki lakini ukweli ni kwamba ana management ambayo imelishindwa kabisa soko la muziki sio la nchini au la nje ya nchi!
#KakaSketi lazma akimbie tu bila kupenda hapa hana ujanja na hivi Kiba kawa nominated sasa hivi wanaumia na kina babu tale na watamaliza waganga wote nakwambia. Ndo hvo kiba kawa nominated bila kubebwa.[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KakaSketi]#KakaSketi [/URL] naona vichambo vimemzidia hadi kakimbia...
Hahaha alikua anajifaragua hapa na aje tena basi.
Mwenzangu jana nilishangaa kuona anamuambia mwanaume mwenzie kam miss, maana tokea mwanzo nilikua namuona #KishetiChaMombasa ila nikawa sina uhakika.
Jana baada ya kuona vile ndio nikathibisha kua ni [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=KakaSketi]#KakaSketi [/URL] kweli!
Ndio nishaingia na sitoki, n
Haya ndio nishaingia halafu hata utukanaje am more than okay...
Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.Hilo sio la kuuliza, sisi ndio wakali wa hizi kazi.
Tunasubiri watangaze lini tutaanza kupiga kura rasmi.
Umeingia Bila Ya Kuingizwa.? Ebu Kaa Vizuri Tukuingize Kwanza Ndo Usikie Utamu Vizuri Wa Hii Thread.
Wameshaanza kulia lia ooh kapata nomination moja, wamesahau King karudi majuzi tu na balaa lote hili linatokana na ngoma zake 2 tu tofauti na huyo ndomo anayefyatua mpya kila uchwao.Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.
Mkuu ukitaka thread iende vizuri achana na hizi lugha usitegemee kusikia uchokipenda tuu kuwa mvumilivu....