Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mond bin laden akikosa sana anabebaga 3.
Huyo kiba kuli sijui kama atakamata jet...
Mtanyooka tu mwaka huu
 
Alikiba na Magement yake ndio tatizo! Alikiba ni mvivu halafu ana management mbovu ambayo haiendani na jina lake na kipaji chake!

Alikiba anatakiwa kubadilisha management kabisa na hili swala tulisha shauri sana....! Alikiba anapata support kubwa ya media +mashabiki lakini ukweli ni kwamba ana management ambayo imelishindwa kabisa soko la muziki sio la nchini au la nje ya nchi!
 

Sawa Mkuu Ushauri Wako Uliotoa Ni Wa Maana Sana.Naamin King Uko Aliko Anaisoma Thread Hii.Atayafanyia Kazi Yote Uliyoyatupia Humu
 
#KakaSketi lazma akimbie tu bila kupenda hapa hana ujanja na hivi Kiba kawa nominated sasa hivi wanaumia na kina babu tale na watamaliza waganga wote nakwambia. Ndo hvo kiba kawa nominated bila kubebwa.
 
Hilo sio la kuuliza, sisi ndio wakali wa hizi kazi.
Tunasubiri watangaze lini tutaanza kupiga kura rasmi.
Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.
 
Kwenye kupiga kura ndo la msingi hapo. Hizi habari ni mbaya kwa kina mwafulani naona wamekua wadogo ka piritoni.CC#KakaKisekiChaMombasa.
Wameshaanza kulia lia ooh kapata nomination moja, wamesahau King karudi majuzi tu na balaa lote hili linatokana na ngoma zake 2 tu tofauti na huyo ndomo anayefyatua mpya kila uchwao.
#KishetiChaMombasa vichambo vimemkolea hana jinsi imebidi akimbie tu.
 
Management ya kiba naona ndo tatizo sidhani kama wanahangaika ktk kuteka soko la nje na pia kiba anatakiwa aishi kistaa, awe mbunifu, abadil style inapobid kwan mziki biashara sio kubak style ile ile sio makumbusho lazima a change kusaka soko, management yake iwe na kiu ya kwenda mbele zaid sio kiu tu bal tuone utendaj wa hyo management, alaf kwa mashabiki hizi team znaua mziki, tunatakiwa kusapot wasanii wote ila wasanii wanaosapotiwa wasilete nyodo washukur mashabik woote sio kuleta vijembe sijui na vishoka sio vizur, mziki ni wetu, wasanii ni wetu, nchi ni ya kwetu, tusapoti vya kwetu.
 
Mkuu ukitaka thread iende vizuri achana na hizi lugha usitegemee kusikia uchokipenda tuu kuwa mvumilivu....

Mkuu Nimekusoma.Ila Binadamu Wengine Wanatia Hasira Sana.Anakuta Bando Limeandikwa Kabisa "Husikae Hapa Amri".Lakini Unamkuta Hapo Hapo Na Yeye Kaweka Makalio Yake.Sasa Sijui Tatizo Ni Ujinga Au Ukilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…