umewaona hawa 1.hawakuwa na bifu na mtu 2.walipendwa na mashabiki 3.walikuwa na vipaji 4.walikuwa na heshima 5.wanajua kuimba
swali nani aliwashusha kimziki???
acheni jeuri jamani hii ni bongo tutamsahau mtu sekende tu
Nakuambia nimewaona huko wanavyotetemeka..Hayo ndo mambo tunayo yataka hapa na sio mbwebwe. Naona wameshaanza kuponda tayari eti kumpangia kiba asifanye na Davido.
Yani hapo chacha ngoma inogile.
#HatersGonaHatePlayersGonePlay .
#KibaShowThemYouCanActionsSpeaksLouderThanWords .
Majirani inabidi wajiandae kisaikolojia tu maana gharika linalokuja huko tutatafutana humu.
#KingKiba msiri sana, hafanyi mambo kwa sifa maana anajijua ku anajua na sifa ameshazizoea.
kiba mjanja sanaa unajua hadi r-kelly alimwambia aanze kuimba kwenye ile one8 project coz ana vocal ya hatari #good music iz coming wait 2 songs but hotMajirani inabidi wajiandae kisaikolojia tu maana gharika linalokuja huko tutatafutana humu.
#KingKiba msiri sana, hafanyi mambo kwa sifa maana anajijua ku anajua na sifa ameshazizoea.
Nilivyoona notification ya hii quote yako niliwaza Chinga One atakua ananiambia nini?Nampongeza Alli kwa hatua aliyo piga kujisogeza nigeria hope ngoma itakua poa tu,ila cha ajabu ninacho kishangaa kwa mashabiki wa pande zote mbili wa Nasibu na Kiba ni kwamba diamond akifanya kitu lazma mashabiki tutaseme majirani hivi na hivi na kiba akifanya kitu fans wake utaskia wanasema maneno hayo hayo hata kama hakuna uhalisia.je ni kunogesha upinzani au?
sasa si baada ya kufail kimziki ndo wakajiingiza huko ili waondoe stress z anto mb dog q chief(best of all time) where are theyUjui hao wavuta unga,unatumia madawa unatarajia,nn
Maneno ya wakosaji hao kujidai kuponda kila kitu sasa wao ni nani wakumpangia kiba. Hawa ndo wanaojiona wanaonewa wivu, na kujifanya kutaka wasanii wengi wafike kumbe ni mibinafsi sana yani.Nakuambia nimewaona huko wanavyotetemeka..
Eti collabo kati ya Kiba na Davido haitanoga na blah blah kibao...
Mara hana washauri.
Sisi kama wapenzi wa muziki wake tunasema haya ndio mambo tuliyokua tukiyataka na tumefurahi sana.
Majirani hamna hadhi ya kumpangia King cha kufanya.
#TutaheshimianaTu
Achana nae mkuu, sisi tujadili hizi habari zetu njema.naona kijana ananiquote anataka tujibizane, ila sinaga muda wa kupoteza sikuzote
Nilivyoona notification ya hii quote yako niliwaza Chinga One atakua ananiambia nini?
Nilichokikuta nimefurahi hata hivyo....
Ni ukweli usio na hata chembe ya shaka ndani yake kua wenzio hizi taarifa zimewaumiza sana, wanatamani hata wafanye kitu gani ili isiwe kweli.
Sisi tunachekelea tu maana ndio imeshakuwa, na mbaya zaidi Davido mwenyewe ndio katangaza maana king wetu Kiba hanaga mbwembwe na ndio tunachompendea hicho.
Kwa niaba yake na #KingKiba Fans wenzangu nasema....Kila la heri kwa kiba,kwa sasa afrika mlango wa kutokea kimataifa uko Nigeria hilo halina ubishi uki kubalika nigeria basi umesha toboa!
Namtakia mafanikio mema!
Hahahaaaaa na wajiandae tu kisaikolojia maana hatutaki kuwapoteza humu.Maneno ya wakosaji hao kujidai kuponda kila kitu sasa wao ni nani wakumpangia kiba. Hawa ndo wanaojiona wanaonewa wivu, na kujifanya kutaka wasanii wengi wafike kumbe ni mibinafsi sana yani.
Collabo lazma inoge sasa tu tena na Kiba na ile sauti yake #Matatraaaa huwa hafanyi makosa kabisa. Watu wajiandae kisaikolojia tu hamna jinsi and Kiba is back. Whether they like it or not collabo is there.
#KibaShowThemUaTheBest .
cloudz wote team dai wanafiki et kiba alivyovamiwa na waizi wakasema anatafuta kiki yani pale labda shafih dauda ila woootee wanafiki hadi ki millard hakijaenda coke studio kwa kibakesho xxl wataongelea kuhusu hiyo collabo, stay tune
Bora umesema, hilo mimi nilishalishtukia zamani sana.cloudz wote team dai wanafiki et kiba alivyovamiwa na waizi wakasema anatafuta kiki yani pale labda shafih dauda ila woootee wanafiki hadi ki millard hakijaenda coke studio kwa kiba