Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

e3a20237a291381df8570dcc631ee7b5.jpg

umewaona hawa 1.hawakuwa na bifu na mtu 2.walipendwa na mashabiki 3.walikuwa na vipaji 4.walikuwa na heshima 5.wanajua kuimba

swali nani aliwashusha kimziki???
acheni jeuri jamani hii ni bongo tutamsahau mtu sekende tu

Ujui hao wavuta unga,unatumia madawa unatarajia,nn
 
Hayo ndo mambo tunayo yataka hapa na sio mbwebwe. Naona wameshaanza kuponda tayari eti kumpangia kiba asifanye na Davido.
Yani hapo chacha ngoma inogile.
#HatersGonaHatePlayersGonePlay .
#KibaShowThemYouCanActionsSpeaksLouderThanWords .
Nakuambia nimewaona huko wanavyotetemeka..
Eti collabo kati ya Kiba na Davido haitanoga na blah blah kibao...
Mara hana washauri.

Sisi kama wapenzi wa muziki wake tunasema haya ndio mambo tuliyokua tukiyataka na tumefurahi sana.
Majirani hamna hadhi ya kumpangia King cha kufanya.
#TutaheshimianaTu
 
Majirani inabidi wajiandae kisaikolojia tu maana gharika linalokuja huko tutatafutana humu.
#KingKiba msiri sana, hafanyi mambo kwa sifa maana anajijua ku anajua na sifa ameshazizoea.

naona kijana ananiquote anataka tujibizane, ila sinaga muda wa kupoteza sikuzote
 
Majirani inabidi wajiandae kisaikolojia tu maana gharika linalokuja huko tutatafutana humu.
#KingKiba msiri sana, hafanyi mambo kwa sifa maana anajijua ku anajua na sifa ameshazizoea.
kiba mjanja sanaa unajua hadi r-kelly alimwambia aanze kuimba kwenye ile one8 project coz ana vocal ya hatari #good music iz coming wait 2 songs but hot

king kibaaaa
 
Nampongeza Alli kwa hatua aliyo piga kujisogeza nigeria hope ngoma itakua poa tu,ila cha ajabu ninacho kishangaa kwa mashabiki wa pande zote mbili wa Nasibu na Kiba ni kwamba diamond akifanya kitu lazma mashabiki tutaseme majirani hivi na hivi na kiba akifanya kitu fans wake utaskia wanasema maneno hayo hayo hata kama hakuna uhalisia.je ni kunogesha upinzani au?
Nilivyoona notification ya hii quote yako niliwaza Chinga One atakua ananiambia nini?
Nilichokikuta nimefurahi hata hivyo....

Ni ukweli usio na hata chembe ya shaka ndani yake kua wenzio hizi taarifa zimewaumiza sana, wanatamani hata wafanye kitu gani ili isiwe kweli.
Sisi tunachekelea tu maana ndio imeshakuwa, na mbaya zaidi Davido mwenyewe ndio katangaza maana king wetu Kiba hanaga mbwembwe na ndio tunachompendea hicho.
 
Last edited by a moderator:
Ujui hao wavuta unga,unatumia madawa unatarajia,nn
sasa si baada ya kufail kimziki ndo wakajiingiza huko ili waondoe stress z anto mb dog q chief(best of all time) where are they
 
Nakuambia nimewaona huko wanavyotetemeka..
Eti collabo kati ya Kiba na Davido haitanoga na blah blah kibao...
Mara hana washauri.

Sisi kama wapenzi wa muziki wake tunasema haya ndio mambo tuliyokua tukiyataka na tumefurahi sana.
Majirani hamna hadhi ya kumpangia King cha kufanya.
#TutaheshimianaTu
Maneno ya wakosaji hao kujidai kuponda kila kitu sasa wao ni nani wakumpangia kiba. Hawa ndo wanaojiona wanaonewa wivu, na kujifanya kutaka wasanii wengi wafike kumbe ni mibinafsi sana yani.
Collabo lazma inoge sasa tu tena na Kiba na ile sauti yake #Matatraaaa huwa hafanyi makosa kabisa. Watu wajiandae kisaikolojia tu hamna jinsi and Kiba is back. Whether they like it or not collabo is there.
#KibaShowThemUaTheBest .
 
naona kijana ananiquote anataka tujibizane, ila sinaga muda wa kupoteza sikuzote
Achana nae mkuu, sisi tujadili hizi habari zetu njema.
Wanataka kutupanikisha tushindwe kujadili hili suala, ni wa kupotezea tu maana hawana jema.
 
kiba mjanja sanaa unajua hadi r-kelly alimwambia aanze kuimba kwenye ile one8 project coz ana vocal ya hatari #good music iz coming wait 2 songs but hot

king kibaaaa

Deal LA one8 lilikuwa LA Mr blue akarembua ndo akatafutwa kiba n airtel
 
Nilivyoona notification ya hii quote yako niliwaza Chinga One atakua ananiambia nini?
Nilichokikuta nimefurahi hata hivyo....

Ni ukweli usio na hata chembe ya shaka ndani yake kua wenzio hizi taarifa zimewaumiza sana, wanatamani hata wafanye kitu gani ili isiwe kweli.
Sisi tunachekelea tu maana ndio imeshakuwa, na mbaya zaidi Davido mwenyewe ndio katangaza maana king wetu Kiba hanaga mbwembwe na ndio tunachompendea hicho.

Kila la heri kwa kiba,kwa sasa afrika mlango wa kutokea kimataifa uko Nigeria hilo halina ubishi uki kubalika nigeria basi umesha toboa!

Namtakia mafanikio mema!
 
Last edited by a moderator:
hatutaki unafiki hapaa mmeitwaa au shobo tuuu poteeni faster
 
Maneno ya wakosaji hao kujidai kuponda kila kitu sasa wao ni nani wakumpangia kiba. Hawa ndo wanaojiona wanaonewa wivu, na kujifanya kutaka wasanii wengi wafike kumbe ni mibinafsi sana yani.
Collabo lazma inoge sasa tu tena na Kiba na ile sauti yake #Matatraaaa huwa hafanyi makosa kabisa. Watu wajiandae kisaikolojia tu hamna jinsi and Kiba is back. Whether they like it or not collabo is there.
#KibaShowThemUaTheBest .
Hahahaaaaa na wajiandae tu kisaikolojia maana hatutaki kuwapoteza humu.
Wanatakiwa washuhudie mabalaa ya #KingKiba ili heshima iwepo.
#TutaheshimianaTu
 
kesho xxl wataongelea kuhusu hiyo collabo, stay tune
cloudz wote team dai wanafiki et kiba alivyovamiwa na waizi wakasema anatafuta kiki yani pale labda shafih dauda ila woootee wanafiki hadi ki millard hakijaenda coke studio kwa kiba
 
labda kama hivyo msanii akienda ndo naskiza cloudz ila wanafiki na wanyonyaji ndo maanaaa"dina marioz " aliwachana live wakamtimua
 
cloudz wote team dai wanafiki et kiba alivyovamiwa na waizi wakasema anatafuta kiki yani pale labda shafih dauda ila woootee wanafiki hadi ki millard hakijaenda coke studio kwa kiba
Bora umesema, hilo mimi nilishalishtukia zamani sana.
Sisi wala hatujali, tunaamini katika mziki mzuri...
Hizi fitna zina mwisho tu na ukweli utasimama.
 
Back
Top Bottom