Wito wangu kwa Kiba, afollow watu wengine, hasa wasanii.
Nitapiga hii kelele, kila siku.
Hao clouds, muda utashughulika nao.Si mnaona dahuu kaumbuka.
Sitaki kuona nani kamfollow Ali Kiba.Nataka kuona Ali kiba kamfollow nani.
Hivi hamuelewi umuhimu wa kumfollow mtu??
Huyo STAN BAKORA ndio nani?.Na ana manufaa gani kimziki?
Jamani, shule muhimu sana.Muwe mnamshauri vitu vya maana.Tunaoumia ni sisi mashabiki zake.
Yani hii pointless my dear
huyo stan bakora ndio nani?.na ana manufaa gani kimziki?
Jamani, shule muhimu sana.muwe mnamshauri vitu vya maana.tunaoumia ni sisi mashabiki zake.
Yani hii pointless my dear
Ms.Lincoln kwani usipofollow watu ndo huoni picha zao vitu vyao wanavyofanya ndo maana alimuwishi stanbakora happy birth day alijuaj?
You have failed this royal family u have let down this royal family n mawazo yko 🔫🔫🔫
Naona wewe unalipwa full time job ya kushinda humu kwa kiba hahahaahah, kazi unayo bibie. vipi domo keshaanza kujifua kwa ajili ya kunengua huko kilimanjaro hahhhahaa.wapiiiii iyobo, mpeni tuzo yake bana
You have failed this royal family u have let down this royal family n mawazo yko 🔫🔫🔫
Kwa taarifa yako, wananiona mwenzao sana tuuu.
Wewe nengua nengua hapa hatuchonganishiki ng'ooo!
Delilah wewe!
Ndiyo
Jiulize Delilah aliplay role gani.
Hata cjui ndo nani
Delilah hawara yake Samson.
Wewe ni Delilah bwana, uitwe Isayah kwani wewe ni mwanaume?Ooh kwann sasa me umenita Delilah badala ya isayah
Wewe ni Delilah bwana, uitwe Isayah kwani wewe ni mwanaume?
MTV ndio kitu gani?Bado una stress za MTV hadi Leo